Wiki (22) - Accords de connectifs, adv. et êtres vivants Flashcards
Kifo cha Magufuli; Vijana walipewa fursa gani katika ulingo wa siasa za Tanzania?
Décès de Magufuli : quelles sont les opportunités offertes aux jeunes dans l’arène politique de la Tanzanie ?
Umuhimu wa fimbo kwa Kabila la Iraqw Tanzania
L’importance du bâton pour l’ethnie Iraqw de Tanzanie
Ujumbe wa kwanza wa twitter wa Jack Dorsey wauzwa $2.9m
Le premier message Twitter de Jack Dorsey s’élevait à 2,9 millions de dollars
Libya ‘mji wa mashetani’
Libye, “ville des démons”
Je, nchi za Afrika Mashariki kutikisa tena Afcon?
Les pays d’Afrique de l’Est continueront-ils à faire trembler la CAN ?
-ingine = autre
1) mwingine
2) wengine
3) mwingine
4) mingine
5) jingine
6) mengine
7) kingine
8) vingine
9) nyingine
10) nyingine
11) mwingine
-ingi = nombreux, beaucoup, plusieurs
1) -
2) wengi
3) -
4) mingi
5) -
6) mengi
7) kingi
8) vingi
9) -
10) nyingi
11) -
-ngapi = combien
1) -
2) wangapi
3) -
4) mingapi
5) -
6) mangapi
7) -
8) vingapi
9) -
10) ngapi
11) -
-ote = tout, tous
1) -
2) wote
3) wote
4) yote
5) lote
6) yote
7) chote
8) vyote
9) yote
10) zote
11) wote
- Tout le monde (=toutes ces personnes) aime(nt) le swahili
- L’autre affaire est celle-ci
- Quel âge as-tu ?
- Je n’achète plus beaucoup de chaussures en cuir (=peau de vache)
- J’ai beaucoup d’enfants
- Je vois de nombreux arbres
- J’ai mangé le plat entier
- Toutes les chaises sont sales
- Je bois beaucoup d’eau
- L’autre professeur arrive bientôt
- Watu wengi wanapenda Kiswahili
- Jambo jingine ni hili
- Una miaka mingapi?
- Sinunui viatu vingi vya ngozi ng’ombe tena
- Nina watoto wengi
- Ninaona miti mingi
- Nilikula chakula chote
- Viti vyote ni vichafu
- Mimi hunywa maji mengi
- Mwalimu mwingine anakuja baadaye
jeune
kijana
dirigeant, responsable
kiongonzi
patron
bosi
ami
rafiki
personne non-voyante
kipofu
zèbre
pundamilia