Wiki mbili - Prononciation & Conjugaison Flashcards
mama
Maman, mère
pete
bague
lini
quand
moto
feu
baba
Papa, père
dada
soeur
fasihi
littérature
kukata
couper
labda
peut-être
mali
biens, richesse
nomino
nom (substantif)
punda / roho
âne
tabasamu
(un) sourire
vumbi
poussière
kutawala
gouverner
moyo
coeur
kumaliza
terminer
kuandika
écrire
kuzungumza
parler
kusoma
lire
kusikiliza
écouter
gazeti
journal
hapa
ici
jua
soleil
sasa
maintenant
nyumba
maison
ng’ombe
vache, bétail
dhahabu
or
ghali
cher, coûteux
theluji
neige
chandarua
moustiquaire
shetani
Diable, démon, Satan
Barack Obama, yeye ni nani ?
Yeye ni mwanamme Mmarekani.
Yeye ni rais wa zamani.
Miriam Makeba, yeye ni nani ?
Yeye ni mwanamke Mwafrika Kusini.
Yeye ni mwanamke mwimbaji.
Comment vont les enfants ?
Habari ya/za watoto ?
Comment va le travail ?
Habari ya/za kazi ?
Comment vont les cours ?
Habari ya/za masomo ?
Comment vas-tu ? Bien !
Habari yako ? Nzuri !
Comment t’appelles-tu ? Je m’appelle… Et toi, comment t’appelles-tu ?
Unaitwa nani ? Ninaitwa… Na wewe, unaitwa nani ?
D’où viens-tu ? Je viens de Tanzanie, je suis Tanzanienne.
Unatoka wapi ? Ninatoka Tanzania, mimi ni mwanamke Mtanzania.
kupenda –> ninapenda, unapenda, anapenda
aimer –> j’aime, tu aimes, il/elle aime
kuona –> ninaona, unaona, anaona
voir –> je vois, tu vois, il/elle voit
kutoka –> ninatoka, unatoka, anatoka
venir de, sortir de
kuitwa –> mimi ni, wewe ni, yeye ni
être –> je suis, tu es, il/elle est
Le chanteur est Kenya
Mwimbaji ni mwanamme Mkenya
Elle est américaine
Yeye ni mwanamke Mmarekani
Qui est président ?
Nani ni rais ?
Comment s’appelle la chanteuse ?
Mwanamke mwimbaji anaitwa nani ?