Wiki (20) - Classe 9/10 "N-/M- , Ny-" + calculs + transports Flashcards
Ndizi
Banane(s)
Ngozi
Peau(x)
Njia
Chemin(s)
Nzi
Mouche(s)
Ndege
Oiseau(x) / Avion(s)
Nguruwe
Porc(s), cochon(s)
Njaa
Faim(s)
Nzige
Sauterelle(s)
Nyumba
Maison(s)
Nyati
Buffle(s)
Nyoka
Serpent(s)
Nyama
Viande(s)
Mvua
Pluie(s)
Mboga
Légume(s)
Mbingu
Ciel/Cieux
Mbwa
Chien(s)
Chupa
Bouteille(s)
Chui
Léopard(s)
Fimbo
Bâton(s)
Fursa
Occasion(s), opportunité(s)
Hongera
Félicitation(s)
Homa
Fièvre(s)
Kamba
Corde(s)
Kazi
Travail/Travaux
Pembe
Corne(s)
Papa
Requin(s)
Siku
Jour(s)
Sungura
Lapin(s), Lièvre(s)
Shida
Ennui(s)
Tembo
Eléphant(s)
Bahari
Mer(s)/Océan(s)
Bahati
Chance(s)
Hatari
Danger(s)
Habari
Nouvelle(s)
Picha
Photo(s), Tableau(x)
Baridi
Froid
Safari
Voyage(s)
Kompyuta
Ordinateur(s)
Dini
Religion(s)
Treni
Train(s)
Gari
Voiture(s)
Baisikeli
Vélo(s)
Bajaji
Tuktuk
Ajali
Accident(s)
Soksi
Chaussette(s)
Zawadi
Cadeau(x)
Benki
Banque(s)
Sauti
Voix
Mvi
Cheveux blancs
Nge
Scorpion(s)
Nchi
Pays
Nta
Cire(s)
Accident(s) de voiture(s)
Maison(s) de pierre(s)
Ajali ya / za gari
Nyumba ya / za mawe
Une belle maison
Une grande maison
Une maison rouge
Nyumba nzuri
Nyumba kubwa
Nyumbani nyekundu
cet ordinateur-ci / -là fonctionne
ces ordinateurs-ci / là fonctionnent
kompyuta hii / ile inafanya kazi
kompyuta hizi / zile zinafanya kazi
Calculs : \+ - x ÷ =
\+ jumlisha - toa x mara ÷ gawanya kwa = sawasawa na
pacha
jumelles
Lupita Nyong’o kuchapisha kitabu cha watoto
Lupita Nyong’o va publier un livre pour enfants
Virusi vya Corona: Mripuko ulioanzia China na kuenea duniani
Coronavirus : l’épidémie qui a débuté en Chine et va se propager dans le monde
Mvua za Dar es Salaam na athari zake
Pluis à Dar es Salaam et leurs répercussions
Mfanyabiashara maarufu wa Tanzania afariki
Le célèbre commerçant de Tanzanie est décédé
Kampuni inayounda viatu vya ngozi ya kiboko na mbuni Zimbabwe
Une entreprise fabrique des chaussures en peau d’hippopotame et de crocodile au Zimbabwe
de la bonne musique d’Afrique
muziki mtamu wa Afrika
une famine (“faim sévère)
njaa kali
les longues rivières de Tanzanie
mito mirefu ya Tanzania
les nouvelles d’aujourd’hui sont bonnes
habari za leo ni nzuri
un mauvais jour
siku mbaya
cette cuillère-ci est sale
Kijiko hiki ni kichafu
- en avion
- en taxi
- en bus
- en train
- à pied
- en paquebot
- en voiture
- kwa ndege
- kwa teksi
- kwa basi
- kwa treni
- kwa miguu
- kwa meli
- kwa gari