Wiki kumi na moja - Classe 3/4 "m/mw-mi" Flashcards
un arbre, des arbres
mti, miti
une main, des mains
mkono, mikono
un pied, des pieds
mguu, miguu
une porte, des portes
mlango, milango
une lune, des lunes
mwezi, miezi
una parapluie, de parapluies
mwavuli, miavuli
mnazi, minazi
un cocotier
mlimau, milimau
un citronnier
débat, discussion
mjadala, mijadala
Chiffres de 1 à 10
1 = -moja 2 = mbili (-wili) 3 = -tatu 4 = -nne 5 = -tano 6 = sita 7 = saba 8 = -nane 9 = tisa 10 = kumi
Dizaines jusqu’à 100
20 = ishirini 30 = thelathini 40 = arobaini 50 = hamsini 60 = sitini 70 = sabini 80 = themanini 90 = tisini 100 = mia
an, années
mwaka, miaka
Tu as quel âge ?
Tu as combien de livres ?
Tu as combien d’enfants ?
Una miaka mingapi ?
Una vitabu vingapi ?
Uva watoto wangapi ?
- Classe 7/8
Ce beau livre est le mien, il vient de Tanzanie (sg.)
Ces beaux livres sont les miens, ils viennent de Tanzanie (pl.)
Kitabu hiki kizuri ni changu, kinatoka Tanzania.
Vitabu hivi vizuri ni vyangu, vinatoka Tanzania.
- Classe famille non 1/2 Cette tante (paternelle) est la mienne, elle vit à Paris (sg.) Ces tantes (paternelles) sont les miennes, elles vivent à Paris (pl.)
Shangazi huyu ni yangu, anaishi Paris.
Shangazi hawa ni zangu, wanaishi Paris.
- Classe famille 1/2
Cet élève est le mien, il apprend le swahili (sg.)
Ces élèves sont les miens, ils apprennent le swahili (pl.)
Mwanafunzi huyu ni wangu, anajifunza Kiswahili.
Wanafunzi hawa ni wangu, wanajifunza Kiswahili.
- Classe 3/4
Cet arbre est le mien, il vient du Kenya (sg.)
Ces arbres sont les miens, il viennent du Kenya (pl.)
Mti huu ni wangu, unatoka Kenya.
Miti hii ni yangu, inatoka Kenya.
Chers étudiants,
Quelles sont vos nouvelles ? Pas de problème ?
Joyeux Noël, bonnes vacances et bonne année.
Nous nous verrons l’année prochaine !
Wapendwa wanafunzi,
Habari zenu ? Hamjambo ?
Krismasi njema, likizo njema na heri za mwaka mpya.
Sisi tutaonana mwaka ujao !
J’habite à Zanzibar avec ma famille.
Ninaishi Zanzibar pamoja na familia yangu.
Je n’ai pas d’argent mais j’aime beaucoup mon travail.
Sina pesa lakini ninapenda sana kazi yangu.
sourire
kutabasamu