Wiki (18) & (19) - Passé et accords de classe Flashcards
Flora Nwapa : la mère de la littérature contemporaine africaine
Flora Nwapa: Mama wa fasihi ya kisasa na Kiafrika
- à pieds
- en voiture
- en bus
- en train
- kwa miguu
- kwa gari
- kwa basi
- kwa treni
je pars au travail / au magasin / au restaurant / à la maison
ninakwenda kazini / dukani / hotelini / nyumbani
J’ai envie de manger des pommes
Ninatamani kula matofaa
- ote
- -> Watu wote
- -> Sisi sote
- -> Ninyi nyote
- -> Wao wote
tout le monde
- -> tout le monde
- -> nous tous
- -> vous tous
- -> eux tous
prendre le petit-déjeuner
- kunywa chai
- kula kifungua kinywa
- kula chakula cha asubuhi
- kula mlo wa asubuhi
(Passé aff. / nég.)
- j’ai voyagé / je n’ai pas voyagé
- j’ai mangé / je n’ai pas mangé
- je suis venu / je ne suis pas venu
- je suis allé / je ne suis pas allé
- nilisafiri / hukusafiri
- nilikula / sikula
- nilikuja / sikuja
- nilikwenda / sikwenda
tôt
mapema
- hier
- la semaine dernière
- le mois dernier
- l’année dernière
- jana
- wiki jana, wiki iliyopita
- mwezi jana, mwezi uliopita
- mwaka jana, mwaka uliiopita
- demain
- la semaine prochaine
- le mois prochain
- kesho
- wiki kesho, wiki ijayo
- mwezi kesho, mwezi ujao
rentrer (à la maison)
kurudi (nyumbani)
C’est une personne ancienne, elle vient de Zanzibar
Huyu ni mtu wa zamani, anatoka Zanzibar
C’est un arbre ancien, il vient de Zanzibar
Huu ni mti wa zamani, unatoka Zanzibar
C’est un livre ancien, il vient de Zanzibar
Hiki ni kitabu cha zamani, kinatoka Zanzibar
C’est un journal ancien, il vient de Zanzibar
Hiki ni gazeti la zamani, linatoka Zanzibar