Wiki (23&24) - Marudio ya ngeli & Rangi & Impératif Flashcards
Tout est cool !
Kila kitu poa!
Institut de swahili et de langues étrangères
Taasisi ya Kiswahili na lugha za kigeni
- Cette tortue marche lentement
- Ces tortues marchent lentement
- Ce chien est gentil
- Ces chiens sont gentils
- Kobe huyu anatembea polepole
- Makobe hawa wanatembea polepole
- Mbwa huyu ni mzuri
- Mbwa hawa ni wazuri
kiongonzi
chef, dirigeant, guide (spirituel)
kipofu
personne non voyante
L’ancien président a dit qu’il refuserait de faire du commerce
Rais wa zamani alisema hataki kufanya biashara
Ma/Mes soeur(s) aime(nt) rire
Dada yangu/wangu (w)anapenda kucheka
Mon cousin d’Amérique chante très bien
Binamu yangu wa Marekani anaimbi vizuri sana
Liste des adv. dérivés d’adj.
- vizuri = bien
- vibaya = mal
- vigumu = difficilement
- kidogo = un peu
Nous allons faire une petite / courte pause !
Tutafanya breki ndogo / fupi!
Je voudrais acheter un ticket. Combien ça coûte (*2 options)
Ninataka kukata (=kununua) tiketi ya kwanza.
- Bei ya tiketi ya kwanza ni bei gani?
- Bei ya tiketi ya kwanza ni shilingi ngapi?
vêtement(s)
- vêtement(s) d’hommes
- vêtement(s) de femmes
nguo (9/10)
- nguo ya/za kiume
- nguoa ya/za kike
Couleur(s) :
- bleu
- vert
- orange
- gris
- rose
- jaune
- violet
- marron
- noir
- blanc
- rouge
Rangi :
- rangi ya buluu
- rangi ya kijani
- rangi ya machungwa
- rangi ya kijivu
- rangi ya waridi
- rangi ya manjano
- rangi ya zambarau
- rangi ya kahawia
- -eusi
- -eupe
- -ekundu
vendre / acheter
kuuza / kununua
prendre
kuchukua
avoir besoin
kuhitaji
répondre
kujibu
essayer
kujaribu
(Impératif)
- Regarde, regardez !
- Fais, faites !
- Pars, partez !
- Cour, courez !
- Réponds, répondez !
- Reviens, revenez !
- Mange, mangez !
- Bois, buvez !
- Merus, mourez !
- Angalia, angalieni!
- Fanya, Fanieni!
- Ondoka, ondokeni!
- Kimbia, kimbieni!
- Jibu, jibuni!
- Rudi, rudini!
- Kul, kuleni!
- Kunywa, kunyweni!
- Kufa, kufeni!
(3 exceptions de l’imp.)
- Apporte, apportez !
- Viens, venez !
- Va, allez !
- Kuleta –> Lete, leteni!
- Kuja –> njoo, njooni!
- Kukwenda –> nenda, nendeni!
Dépêche-toi ! (“Fais vite !”)
Fanya haraka!
Mets tes chaussures !
Vaa viatu!
Avance, bouge !
Sogea mbele!
Sors!
Toka!
Tais-toi!
Nyamaza!
Fais attention ! (“Sois prudent !”)
Kuwa mwangalifu!
Force à toi ! (“Aies du coeur !”)
Kuwa na moyo!
Vendeur.se
Muuzaji, mwuzaji
Client
Mteja
Comment ça va en ce moment ? (“Quelles sont les nouvelles de ces heures-ci ?”)
Za saa hizi?
en-dessous de, vertical
chini
au-dessus de, horizontal
katikati
J’aurais besoin d’un kilo de sucre et un paquet de feuilles de thé.
Ninahitaji sukari kilo moja na majani ya chai paketi moja.
Je préfère ce (pagne)-ci vert à ce (pagne) orange.
Ninapenda ile ya rangi ya kijani kuliko ile ya rangi ya machungwa.
Comparatif
= 4 expressions pour exprimer “plus que, supérieur à”
- (zaidi) kuliko
- kupita (= passer, dépasser)
- kushinda (= vaincre, gagner)
- kuzidi (= augmenter, surpasser)
- J’aime plus le vert que le bleu
- Mosi est plus grosse que Daudi
- Il est plus beau que toi
- Ninapenda rangi ya kijani kuliko rangi ya buluu
- Mosi ni mnene kupita Daudi
- Yeye ni mzuri kuzidi wewe
Traduire :
- Bois/Buvez de l’eau !
- Fais/faites vite !
- Va/Allez au magasin !
- Viens/Venez ici !
- Rentre/Rentrez à la maison !
- Apprends/Apprenez la leçon !
- Prends/ Prenez l’argent !
- Kunywa/Kunyweni maji!
- Fanya/Fanyeni haraka!
- Nenda/Nendeni dukani!
- Rudi/Rudini nyumbani!
- Soma/Someni somo!
- Chukua/Chukueni pesa!
Traduire :
- Khadija mange plus vite que moi
- Cet élève-ci lit/étudie plus que celui-là
- Laila est plus mince que Juma
- J’aime beaucoup plus le matin que le soir
- Ce pagne/tissu-ci est plus court que le tien
- Khadija anakula haraka kuzidi mimi
- Mwanafunzi huyu anasoma kuliko yule
- Laila ni mwembamba kupita Juma
- Ninapenda asubuhi zaidi kuliko usiku
- Kanga hii ni fupi kuliko yako