Wiki kumi na sita - Classe 5/6 "Ji- / Ma-" + Saa (suite) + Wiki Flashcards
la semaine prochaine
wiki ijayo
Est-ce qu’elle s’appelle Bahati ? Non, elle ne s’appelle pas Bahati, son nom est Ndilo. Elle vit à Pantin, près de Paris.
Je, anaitwa Bahati? Hapana, haitwi Bahati, jina lake Ndilo. Anaishi Pantin karibu na Paris.
célibataire
mseja
Je ne sais pas si elle aime la politique
Sijui kama anapenda siasa
“Il n’y a pas d’autre Dieu que toi”
“Hakuna Mungu kama wewe”
l’un… l’autre…
mmoja… mwingine…
msichana =/= mvulana
mtoto wa kike =/= mtoto wa kiume
une petite fille =/= un petit garçon
une chanson en swahili
wimbo wa kiswahili
tunda, matunda
fruit
shoka, mashoka
hâche
chungwa, machungwa
orange (fruit)
gazeti magazeti
journal
jani, majani
feuille d’arbre
jicho, macho
oeil
jiwe, mawe
pierre
jino, meno
dent
- un bon fruit
- un fruit rouge
- des bons fruits
- des fruits rouges
- tunda zuri
- tunda jekundu
- matunda mazuri
- matunda mekundu
yai, mayai
oeuf
- un seul oeuf
- deux oeufs
- un oeuf blanc
- des oeufs blancs
- un nouveau journal
- de nouveaux journaux
- yai moja tu
- mayai mawili
- yai jeupe
- mayai meupe
- gazeti jipya
- magazeti mapya
eau
maji
lait
maziwa
ziwa, maziwa
lac
huile
mafuta
salive
mate
vie
maisha
amour
mapenzi
économie
maendeleo
question
swali, maswali
- Voici mes soeurs
- Voici mon père
- Les belles femmes-ci sont mes soeurs
- Le grand là-bas est mon père
- Hawa ni dada zangu
- Huyu ni baba yangu
- Hawa wanawake wazuri ni dada zangu
- Yule mrefu ni dada yangu
Quelle heure est-il ? 7h00 (heure swahilie et française)
Ni saa ngapi?
- Ni saa moja kamili asubuhi (ya Kiswahili)
- Ni saa saba kamili asubuhi (ya Kizungu)
10h05
Ni saa nne na dakika tano asubuhi
10h13
Ni saa nne na dakika kumi na tatu asubuhi
10h35
- Ni saa nne na dakika thelathini na tano asubuhi
- Ni saa tano kasoro ishirini na tano asubuhi
10h42
Ni saa tano kasoro dakika kumi na nane asubuhi
les voix de la sagesse
sauti za busara
Semaine
- Samedi (1er jour de la semaine)
- Dimanche
- Lundi
- Mardi
- Mercredi
- Jeudi
- Vendredi
Wiki / Juma
- Jumamosi
- Jumapili
- Jumatatu
- Jumanne
- Jumatano
- Alhamisi
- Ijumaa
fenêtre
dirisha, madirisha
ananas
nanasi, mananasi
champ
shamba, mashamba
mot, parole
neno, maneno
nom
jina, majina
réponse
jibu, majibu
affaire
jambo, mambo
Il y a deux femmes : la grande est Tanzanienne, la petite est Congolaise.
Kuna wanawake wawili : yule mrefu ni Mtanzania, yule mfupi ni Mkongo.