Wiki mosi - Présentation Flashcards
Somo la Kiswahili
Leçon de swahili
Tarehe
Date
Karibu(ni) !
Bienvenue ! (Welcome !)
Mimi ni…
Je suis…
Mimi ni Mtanzania
Je suis de Tanzanie
Mimi ni mwanamme
Je suis un homme
Mimi ni mwanamke
Je suis une femme
Wewe ni nani ?
Qui es-tu ?
Asante(ni) sana !
Merci bcp !
Kwa heri(ni) !
Au revoir !
Mazoezi ya Kiswahili
Exercices de swahili
Mambo kadhaa…
Plusieurs choses…
lulu
perle
chochote
n’importe quelle (chose)
kamusi
dictionnaire
pikipiki
moto
kutembea
marcher, se promener
mwanadiplomasia
diplomate
kitabu
livre
kalamu
stylo
picha
photo, image, tableau
wiki mosi
semaine n°1
wako / wenu
Bien à toi / à vous
Samahani !
Pardon, désolé ! Excuse(z)-moi !
Communauté d’Afrique de l’Est
Jumuiya ya Afrika ya Mashakiri
hodari
courageux