Medical - Intro/demographics Flashcards
How are you?
Habari yako?
Good morning / good afternoon / good evening
My name is ….
Habari ya asubuhi / Habari za mchana / mema jioni
Jina langu ni …
Social worker
Msaidizi wa tiba
Surgeon
Daktari wa upasuaji
Physical therapist
Kimwili mtaalamu
Mtaalamu: Expert, specialist, educated person
What is your name?
Jina lako ni nani?
Can you write it in English?
Je, unaweza kuliandika kwa Kiingereza?
I am pleased to meet you
Nimefurahi kukutana nawe.
Nawe = Shortened of na wewe (With you/and you)
Please write your name here
Andika jinalako hapa, tafadhali
Do you speak English?
Unasema kiingereza?
I don’t speak swahili
Sisemi kiswahili
Say that one more time please
Tafadhali kurudia kwamba/kuamba
Sometimes write ua as wa
I don’t understand
Sielewi
Can you speak slowly, please?
Sema polepole, tafadhali?
Come with me
Fuatana nami (na mimi) tafadhali (Kufuatana: To accompany/follow)
Sit down, please
Kaa chini, tafadhali
What province do you live in?
Unaishi wilaseni/kitongoji gani?
What is your address?
Unakaa wapi?
What is your telephone number?
Kile ni nambari yako ya simu?
Do you have an ID?
Una kitambulisho?
Can you give us the name and telephone number or address of someone we can give news about you to?
Unaweza kutupa jina na namba ya simu au anuani ya mtu ambaye tunaweza kumpa habari zako?
(Namba: Number)
Are you married?
Ulishaka owa? (For male)
Ulishaka wolewa? (For female)