Ch 9 Flashcards
Beer (2)
Bia
Pombe
Salt
Chumvi
Glass/es
Glasi
Bean/s
Haragwe/maharagwe
Corn (Mostly used in the plural)
Hindi/mahindi
Juice
Juisi
Sour
-kali
Spoon/s
Kijiko/vijiko
Cup/s
Kikombe/vikombe
Can/s, tin/s
Kikopo/vikopo
Drink/s, beverage/s
Kinywaji/vinywaji
Piece/s
Kipande/vipande
Knife/ves
Kisu/visu
Cucumber/s
Kitango/vitango
Garlic/pieces of garlic
Kitunguu thomu/vitunguu thomu
Onion/s
Kitunguu/vitunguu
Thirst
Kiu
Spice/s
Kiungo/viungo
To watch
Kuangalia
To boil
Kuchemsha
To roast
Kuchoma
To carry, to take, to hold, to keep
Kuchukua
To call
Kuita
To know
Kujua
To fry
Kukaanga
Chicken
Kuku
There is, there are
Kuna
To bake
Kuoka
To ask
Kuomba
To give
Kupa
To cook
Kupika
To return
Kurudi
To help
Kusaidia
To wait, to be patient
Kusubiri
To want
Kutaka
Potato/es (2)
Kiazi/viazi
Mbatata
Vegetables
Mbogamboga
Spinach
Mchicha
Restaurant/s
Mkahawa/mikahawa
Bread/s
Mkate/mikate
Arm/s, hand/s
Mkono/mikono
Customer/s
Mteja/wateja
Cassava/s
Muhogo/mihogo
Wine
Mvinyo
Coconut/s
Nazi
Banana/s
Ndizi
Napkin (2)
Nepkini
Sarvieti
Hunger
Njaa
Half
Nusu
Meat
Nyama
Beef
Nyama ya ng’ombe
Pork
Nyama ya nguruwe
There (over there)
Pale
Spice, pepper, chili
Pilipili
Black pepper
Pilipili manga
Plate/s
Sahani
Salad
Saladi
Fruit salad
Saladi ya matunda
Butter
Siagi
Soda
Soda
Sugar
Sukari
Soup
Supu
Sweet
-tamu
Ginger
Tangawizi
Apple/s
Tufaa/matufaa
Fruit/s
Tunda/matunda
Tomato/es (2)
Nyanya
Tungule
Fork/s
Uma/nyuma
Flour
Unga
Rice
Wali