Cooper ob/gyn Flashcards
Do you have vaginal itching?
Je, una kuwasha ya sehemu za siri/uke?
To become nauseated
Kuchefuka
Condom/s (2)
Kondomu Mpira (wa kujamiana) / mipira (ya kujamiana)
Do you have unusual discharge from the vagina? A little or a lot?
Una utoko wowote? Kidogo wala mingi?
Kadiri (2)
- Estimated amount, moderate amount
2. To estimate, to calculate
Ovary/ies
Mfuko wa yamai / mifuko ya mayai
How to form comparative adj - ie tom is bigger than per
X + adj + kuliko + y
Tom ni kubwa kuliko per
Contraceptive pills (2)
Vidonge vya majira
Vidonge vya kuzuia uzazi
(Vidonge: Tablets)
(Majira: Period, time)
(Kuzuia: To prevent)
A medicine to bring on your labourpains
Dawa ya kusudi upate uchungu
Ectopic pregnancy (2)
Mimba iliyo nje ya kizazi / mji wa kizazi / mji wa uzazi
Mimba ya mfuko wa mayai (‘Pregnancy of bag of eggs’)
(Mji wa uzazi - Uterus (‘City of maternity/labor)
(Mfuko wa mayai - ovary)
Mother’s milk
Maziwa ya mama
Do you have pain during intercourse?
Una maumivu wakati wa kujamiiana?
Nausea (2)
Kichefuchefu
Kigagazi
We are expecting our second child in September
Tunatarajia kupata mtoto wa pili mwezi wa tisa
Pregnant women/s
Mjamzito/wajamzito
Did your water break? (2)
Ulipoteza maji?
Vunja chupa?
Baby/ies
Mtoto mchanga/watoto wachanga
Mchanga: Baby, newborn
Do you know your blood type?
Unajua aina yako ya damu?
When was your last period?
Lini ulipata hedhi kwa mara ya mwisho?
Do not push yet!
Usisukume bado
Kusukuma: To push
Do you bleed between periods?
Je, una damu ya ziada kati ya vipindi hedhi?
To itch, to irritate
Kuwawa
To miscarry
Kuharibu mimba (‘To ruin/destroy pregnancy’)
When did your contractions start?
Ulianza kazi lako lini?
Intentionally, purposely
Kusudi
Swelling
Uvimbe
To stand
Kusimama (also to stop)
Menopause
Kukatika hedhi
Kukatika: To be cut, to come to an end
Recently (3)
Hivi karibuni
Karibuni
Juzijuzi
Are you having vaginal bleeding?
Unatoka damu ya sehemu za siri/ uke?
Uke: Vagina, womenhood
Is the flow heavy?
Unapata damu mingi?
Is there Foul smelling discharge / purulent discharge?
Kuna uchafu unatoka sehemu za siri?
Maternity allowance
Marupurupu ya uzazi
Marupurupu: Allowance
(Uzazi: Birth, childbearing)
Embryo/s
Kiinitete/viinitete
Birth
Uzazi
Fetus/es
Mimba
Contraction/s (2)
Uchungu
Bano/mabano
Plan/s
Mpango/mipango
Do you have an intrauterine device (IUD)?
Una kifaa cha kuzuia mimba?
To fertilise
Kutungisha mimba
To break waters (2)
Kuvunja maji
Kuvunja chupa
To intend, to purpose, to aim for
Kusudi
To conceive/get pregnant
Kutunga mimba
Kutunga: To compose, to form matter
Midwife/s (2)
Mkunga/wakunga
Mzalishaji/wazilishaji
Could you possibly be pregnant? (2)
Je, unaweza uwezekano kuwa mjamzito?
Unaweza kuwa na mimba?
Gloves
Gloves
Cow’s milk
Maziwa ya ng’ombe
Depot contraceptive injection
Sindano ya kuzuia mimba
Is this your first baby?
Huu ni mtoto wako wa kwanza?
Bottle
Chupa
To breastfeed (2)
Kunyonyesha
Kumpa kifua
Sanitary towel/s (2)
Pedi
Kibinda/vibinda
(May be awkward for males to use)