Ch 10 Flashcards
Shoulder/s
Bega/mabega
Mosquito net/s
Chandarua/vyandarua
Intestine/s
Chango/machango
Stool, toilet/s, bathroom/s
Choo/vyoo
Doctor/s
Daktari/madaktari
Symptom/s
Dalili
Blood
Damu
Medicine/s, drug/s
Dawa
Knee/s
Goti/magoti
Thumb/s
Gumba
Particularly
Hasa
Hospital/s
Hospitali
Eye/s
Jicho/macho
Tooth/teeth
Jino/meno
Head/s
Kichwa/vichwa
Finger/s, toe/s
Kidole/vidole
Chest/s
Kifua/vifua
Prevention
Kinga
Thermometer/s
Kipima joto/vipima joto
Elbow/s
Kisugudi/visugudi
Hip/s
Kiuno/viuno
Dizziness
Kizunguzungu
Clinic/s
Kliniki
Throat/s
Koo/makoo
To write
Kuandika
To direct
Kuelekeza
To cause diarrhea
Kuharisha
To feel
Kuhisi
To cough
Kukohoa
To urinate
Kukojoa
Right
Kulia
To get, to obtain, to suffer (an illness)
Kupata
To sneeze
Kupiga chafya
To rest
Kupumzika
To decrease
Kupungua
To forget
Kusahau
To be troubled, to be disturbed
Kusumbuliwa
To vomit
Kutapika
To deliver, to give, to offer, to remove
Kutoa
To use
Kutumia
To hurt
Kuuma
To have a headache (3)
Kuumwa na kichwa
Kuhisi maumivu ya kichwa
Kicwha kinaniuma
To have a fever
Kuwa na homa
Homa: Fever
Perhaps
Labda
Frequently
Mara kwa mara
Disease/s ailment/s (2)
Maradhi
Ugonjwa/wagonjwa
Results
Matokeo
Pain
Maumivu
Mouth/s
Mdomo/midomo
Back/s
Mgongo/migongo
Leg/s, foot/feet
Mguu/miguu
Urine
Mkojo/mikojo
Arm/s, hand/s
Mkono/mikono
Heart/s
Moyo/mioyo
Nurse/s
Mwuguzi/wauguzi
Body/ies
Mwili/miili
Country/ies
Nchi
Skin
Ngozi
Lung/s
Pafu/mapafu
Nose/s
Pua
Neck/s
Shingo
Ear/s
Sikio/masikio
Needle/s, syringe/s
Sindano
Buttocks, backside
Tako/matako
Belly/ies, stomach/s
Tumbo/matumbo
Brain
Ubungo
Investigation/s
Uchunguzi/chunguzi
Tongue/s
Ulimi/ndimi
Uso/nyuso
Face/s
I wan’t to see the doctor
Ninataka kuonana na daktari
Kuonana: To see each other, to see one another
What’s troubling you?
Unasumbuliwa na nini?
I’ve burned myself
Nimeungua
Kuungua: To burn, to be on fire
I’ve cut myself
Nimejikata
Kukata: To cut
I think i broke my arm
Nafikiri nimevunjika mkono
To break (bones)
Kuvunjika
How do you feel?
Unahisi vipi?
I feel like my whole body hurts
Ninahisi mwili wote unaniuma
I feel weak
Ninahisi sina nguvu
Strength, force/s, power
Nguvu
I feel dizzy
Ninahisi kizunguzungu
I have a fever
Nina homa
I have diarrhea
Ninaharisha
I have a stomachache (3)
Tumbo linauma
Ninahisi maumivo ya tumbo
Linaniumwa na tumbo
I’m throwing up
Ninatapika
I have chest pains (3)
Kifua kinauma
Ninahisi maumivo ya kifua
Kinaniumwa na kifua
I’m coughing
Ninakohoa
Are you taking any medications?
Unatumia dawa yoyote?
I’m pregnant (2)
Nina mimba
Mimi ni mja mzito
(Mimba: Pregnancy, Conception, fetus. Mja mzito: ‘Foreign /other thick’)
Public hospital/s
Hospitali za serikali
Private hospital/s
Hospitali binafsi
Patient/s, sick person/people
Mgonjwa/wagonjwa
Prescription/s (Medical)
Cheti
Surgery (2)
Upasuaji
Operesheni