Ch 15 Flashcards
Exciting, fun
-a kusisimuwa
Swimming pool/s
Bwawa/mabawa
Weak
Dhaifu
Healthy
-enye afya
In shape
-enye umbo la kimazoezi
Umbo - Shape
Golf
Gofu
Even
Hata
Tent/s
Hema/mahema
To watch
Kuangalia
To play
Kucheza
To get tired
Kuchoka
To catch a ball
Kudaka mpira
To go camping
Kuenda kupiga kambi
To run (2)
Kuenda mbio
Kukimbia
To ride a bike
Kuendesha baiskeli
To swim
Kuogelea
To lie in the sun
Kuota jua
To go mountain climbing
Kupanda milima
To get a tan
Kupata ngozi ya kahawia
To jump
Kuruka
To throw a ball
Kurusha mpira
To win
Kushinda
To lose
Kushindwa
To wish
Kutamani
To hike, to go hiking
Kutembea masafa marefu (kwa burudani)
Kutembea: To walk, to travel around
(Masafa: Distance)
(Marefu: Long)
(Burudani: Recreation, leisure)
To get a sunburn
Kuungua kwa jua
Kuungua: To burn
Popular, famous
Maarufu
Strong (2)
Madhubuti
-enye nguvu
Boxing
Mchezo wa masumbwi
Game/s, sport/s
Mchezo/michezo
Basketball
Mpira wa kikapu
Hockey
Mpira wa magongo
Table tennis, ping pong
Mpira wa meza
Soccer
Mpira wa miguu
Volleyball
Mpira w wavu
Athletics, track-and-field
Riadha
Place/s
Sehemu
Competition/s
Shindano/mashindano
Unhealthy
-sie na afya
Almost
Takriban
Team/s
Timu
Beach/es
Ufukwe/fukwe
Court/s, field/s, ground/s
Uwanja (kiwanja/vivanja)
What did you do this weekend?
Ulifanya nini wikiendi?
I watched an American football game on TV
Niliangalia mpira wa kimarekani kwenye TV
What’s the score? Who’s winning?
Ngapi ngapi? Nani anashinda?
Do you like sports?
Unapenda michezo?
I played soccer with some friends
Nilicheza mpira na marafiki
I like to play basketball very much
Ninapenda kucheza mpira wa kikapu sana
I play tennis, but i’m not very good at it
Ninacheza tenisi lakini sijui sana