Ch 8 Flashcards
What would you like?
Unataka nini?
Can i help you? (2)
Naweza kukusaidia?
Nikusaidie nini?
I would like this (N class singular)
Ninataka hii
Here you / Here you are
Hizi hapa
What time does the store (usually) open?
Duka hufunguliwa saa ngapi?
What time does the store (usually) close?
Duka hufungwa saa ngapi?
That’ll be great!
Nitafurahi sana!
You’re welcome back!
Karibu tena!
Price/s
Bei
Blouse/s
Blauzi
A little bit, small
-dogo
Clothing store/s
Duka la nguo/Maduka ya nguo
Shoe store/s
Duka la viatu/maduka ya viatu
Undershirt/s
Fulana
Expensive
Ghali
Jacket/s
Jaketi/majaketi
Credit card/s (2)
Kadi ya malipo/kadi za malipo
Krediti kadi
Like, if
Kama
Dress/es, robe/s
Kanzu
Shorts
Kaptura
Boot/s
Kiatu cha buti/viatu vya buti
Hat/s, cap/s
Kofia
Coat/s
Koti/makoti
To tell
Kuambia