Ch 7 Flashcards
Come tomorrow
Njoo kesho
Don’t come today
Usije leo
I don’t have time/the chance
Sina nafasi
Una nafasi?
Do you have time?
Appointment/s (no singular form)
Miadi
I have an appointment
Nina miadi
The day after tomorrow
Kesho kutwa
He/she isn’t here
Hayupo
Wildlife researcher
Mtafiti wa wanyama
Mtafiti/watafiti - Researcher
To meet with
Kuonana na
Wildlife conservation
Uhifadhi wa wanyama
Desert/s (Geography)
Jangwa/majangwa
Calendar/s
Kalenda
North
Kaskazini
Dry season/s
Msimu wa kiangazi/Misimu ya kiangazi
Cold season/s
Kipupwe/vipupwe
To be late
Kuchelewa
To come
Kuja
To answer
Kujibu
Investigation, research
Uchunguzi
To make
Kufanya
To place, to put, to set
Kuweka
Director/s (2)
Mkuu/wakuu (Director, head, chairperson, chief)
Mkurugenzi/wakurugenzi (Director, leader, superior)
Concerning, about
Kuhusu
-Ningependa kuzungumza na mkurugenzi kuhusu uhifadhi wa wanyanma - I’d like to talk to the director about wildlife conservation