Ch 5 Flashcards
After studies/lessons/classes
Baada ya masomo
Of course (“Without doubt!”)
Bila shaka!
Break/s (I.e. school break), vacation/s, holiday/s
Likizo
How was the break?
Habari za likizo?
If you like
Kama unapenda
To finish studies
Kumaliza masomo
Printing paper (Paper for printing)
Karatasi ya kuchapishia
(During the) time of break/vacation
Wakati wa likizo
Why?
Kwa nini?
Because
Kwa sababu
Maybe, perhaps
Labda
Language studies
Masomo ya lugha
Secondary school
Shule ya sekondari
We would like to buy …
Tungependa kununua …
School items/, school suppy/lies
Kifaa cha shule/Vifaa vya shule
Where did you go?
Ulienda wapi?
What did you do?
Ulifanya nini?
To see parents
Kuwaona wazazi
For (the purpose of), Because of, For the sake of
Kwa ajili ya
Ajili - Reason, cause, sake
Biology
Bayolojia
Notebook/s
Daftari/madaftari
Classroom/s
Darasa/madarasa
Physics
Fizika
Foreign
-geni