Ch 3 Flashcards
Per month
Kwa mwezi
Landlord/landlady
Mwenyenyumba
How much?
Ni bei gani?
I like it
Nimeipenda
I’ll call you
Nitakupigia simu
We’ll talk
Tutaongea
Let’s go …
Twende …
Where are you?
Uko wapi?
Address/es
Anuani/anwani
Or
Au
Blue
Bluu
Yard/s, Garden/s
Bustani
Bathroom/s
Choo/vyoo
Bedroom/s
Chumba cha kulala/vyumba vya kulala
Room/s
Chumba/vyumba
Window/s
Dirisha/madirisha
Small, little
-dogo
Red
-ekundu
White
-eupe
Black
-eusi
Apartment/s
Fleti
Car/s
Gari/magari
Other
-ingine
Kitchen/s, fireplace/s, oven/s, stove/s
Jiko/majiko
Monday
Jumatatu
Green
Kijani
Book/s
Kitabu/vitabu
Bed/s
Kitanda/vitanda
Chair/s
Kiti/viti
Computer/s
Kompyuta
Old
-kongwe
To view, to watch
Kuangalia
Big
-kubwa
To come
Kuja
To eat
Kula
To sleep
Kulala
There is/are …
Kuna …
To see
Kuona
But
Lakini
Yellow
Manjano
Table/s
Meza
Door/s
Mlango/milango
One
-moja
Inside
Ndani
Outside
Nje
House/s
Nyumba
New
-pya
Television (2)
Runinga
Televisheni
Okay.
Sawa.
Dining room/s
Sehemu ya kulia/Sehemu za kulia (‘Part/fraction/section of right (side)’)
Pantry/ies
Stoo
Room where beverage, food etc are stored
Three
-tatu
Living room/s
Ukumbi/kumbi
Electricity
Umeme
Where?
Wapi?
Two
-wili
Beutiful, nice
-zuri
This house has three bedrooms
Nyumba hii ina vyumba vitatu (‘House + this + it has + rooms + three’)
Room/s
Chumba/vyumba
This is a bedroom
Hiki ni chumba cha kulala (‘This is bedroom’)
Do the small rooms have bathrooms too?
Vyumba vidogo vina vyoo pia? (‘Rooms small + it has + bathrooms too?’)
This is the kitchen here
Hili hapa ni jiko (‘This here is kitchen’)
Where is the living room?
Ukumbi uko wapi? (‘Living room + you are + where’)
The living room is big and beautiful
Ukumbi ni mzuri na mkubwa (‘Living room is beautiful and big’)
Let’s go outside
Twende nje (‘Let’s go + outside’)
The house is beautiful
Nyumba ni nzuri
We’re watching television
Tunaangalia televisheni
I’m reading a book
Ninasoma kitabu
Open markets, At the markets
Sokoni