Ch 13 Flashcards
Pleasant, enjoyable
-a kufurahisha
Profession/s
Amali
Fireman/men
Askari wa zimamoto
Business/es
Biashara
Boss/es
Bosi
Dentist/s
Daktari la meno/madaktari wa meno
Doctor/s
Daktari/madaktari
Bus driver/s
Dereva wa basi
Photocopy/ies
Fotokopi
Mechanic/s
Fundi/mafundi
Plumber/s
Fundi bomba/mafundi bomba
Electrician/s
Fundi umeme/mafundi umeme
Company/ies
Kampuni
Close to, near to, next to
Karibu
Secretary/ies
Katibu muhutasi
Job/s, work/s
Kazi
Address book/s
Kitabu cha anuani/vitabu vya anuani
Datebook/s
Kitabu cha tarehe/vitabu ya tarehe
To leave a message
Kuacha ujumbe
To hire
Kuajiri
To write a report
Kuandika ripoti
To take a message
Kuchukua ujumbe
To work
Kufanya kazi
To please
Kufurahisha
To need
Kuhitaji
To welcome
Kukaribisha
To show
Kuonyesha
To schedule an appointment
Kupanga miadi
To type
Kupiga chapa
To take a break, to rest
Kupumzika/Kuenda kupumziko
To be busy
Kushughulika
To go to a meeting
Kwenda mkutanoni
Must
Lazima
Followed by verb in subjunctive
Fax machine
Mashine ya/za faksi
Environment/s
Mazingira
In front of
Mbele ya
Desk/s
Meza
Businessperson/people
Mfanyabiashara/wafanyabiashara
Engineer/s
Mhandisi/wahandisi
Farmer/s
Mkulima/wakulima
Intern/s, apprentice/s
Mkurufunzi/wakurufunzi
Director/s
Mkurugenzi/wakurugenzi
Meeting/s
Mkutano/mikutano
Artist/s
Msanii/wasanii
Important
Muhimu
Unemployed
Mvinjari
Teacher/s
Mwalimu/walimu
Musician/s
Mwanamuziki/wanamuziki
Lawyer/s
Mwanasheria
Writer/s
Mwandishi
Journalist/s
Mwandishi wa habari
Colleague/s
Mate/s, fellow/s, companion/s
Mwenza/wenza
(Mwenza (literally “companion, fellow”) is usually attached to possessives -angu, -ako, -ake, -etu, etc., as mwenzangu, mwenzake, mwenzetu, etc., to mean “colleague”, “mate”, “fellow”, “companion”
Actor/s
Mwigizaji/waigizaji
Singer/s
Mwinbaji/waimbaji
Nurse/s (2)
Mwuguzi/wauguzi
Nesi
Salesperson/people
Mwuzaji/wauzaji
Behind (the)
Nyuma (ya)
Office/s
Ofisi
Police officer/s
Polisi
Report/s
Ripoti
Pilot/s
Rubani/marubani
Carpenter/s
Seremala
Drawer/s
Shubaka/mashubaka
Telephone/s
Simu
Message/s
Ujumbe
Meeting room/s
Ukumbi wa mkutano/kumbi za mkutano
Well
Vizuri
What’s your profession? / What do you do for work?
Unafanya kazi gani?
I got a new job
Nimepata kazi mpya
I work in a large company
Ninafanya kazi katika kampuni kubwa
I quit my job
Nimeacha kazi
What experience do you have?
Una uzoefu gani?
How long have you had your job?
Umefanya kazi hii muda gani?
This (here) is my resume
Huu hapa wasifu wangu
Please make a photocopy of this document
Tafadhali fanya fotokopi ya waraka huu
Waraka/nyaraka: Document/s
I have to write a report
Lazima niandike ripoti