Ch 6 Flashcards
You can call me …
Unaweza kuniita ..
To can, to be able
Kuweza
How was the trip?
Habari za safari?
The trip is long
Safari ni ndefu
Road, street
Barabara
Bus station/s
Kituo cha basi/vituo vya basi
Near …, close to …
Karibu na …
By car
Kwa gari
Wildlife park, preserve
Mbuga
Masai Mara
The Masai Mara National Park
Mount Kilimanjaro
Lima Kilimanjaro
To climb a mountain, to go mountain climbing
Kupanda mlima
Highway/s
Barabara kuu (-kuu: great, major, chief, main, important)
-kuu
great, major, chief, main, important
So
Basi
Bus/es
Basi/mabasi
Store/s
Duka/maduka
Car/s
Gari/magari
Hotel/s
Hoteli
Building/s, construction/s
Jengo/majengo
Office building/s
Jengo la ofisi/majengo ya ofisi
Downtown, city center
Kati kati ya mji
Preposition/s
Kihusishi/vihusishi
Between, in the middle of, central, in the midst of …
Kati ya …