Lesson 9d: Ji-Ma Noun Class Flashcards
Blanketi
Blanket
Mablanketi
Blankets
Dirisha
Window
Madirisha
Windows
Gari
Car
Magari
Cars
Gazeti
Newspaper
Magazeti
Newspapers
Godoro
Mattress
Magodoro
Mattresses
Sanduku
Box
Masanduku
Boxes
Jiko
Gas cooker
Meko
Gas cookers
Baraza
Veranda
Mabaraza
Verandas
Daraja
Bridge
Madaraja
Bridges
Duka
Shop
Maduka
Shops
Shamba
Farm
Mashamba
Farms
Soko
Market
Masoko
Markets
Ziwa
Lake
Maziwa
Lakes
Jimbo
State
Majimbo
States
Jina
Name
Majina
Names
Kosa
Mistake
Makosa
Mistakes
Neno
Word
Maneno
Words
Jambo
Issue
Mambo
Issues
Jiwe
Stone
Mawe
Stones
Somo
Subject/Lesson
Masomo
Subjects/Lessons
Wazo
Thought
Mawazo
Thoughts
Jibu
Answer
Majibu
Answers
Swali
Question
Maswali
Questions
Jukumu
Responsibility
Majukumu
Responsibilities
Juma
Week
Majuma
Week
Jicho
Eye
Macho
Eyes
Jino
Tooth
Meno
Teeth
Bega
Shoulder
Mabega
Shoulders
Goti
Knee
Magoti
Knees
Sikio
Ear
Masikio
Ears
Tumbo
Stomach
Matumbo
Stomachs
Paja
Thigh
Mapaja
Thighs
Chungwa
Orange
Machungwa
Oranges
Embe
Mango
Maembe
Mangoes
Limau
Lemon
Malimau
Lemons
Nanasi
Pineapple
Mananasi
Pineapples
Papai
Pawpaw
Mapapai
Pawpaws
Dafu
Coconut
Madafu
Coconuts
Tofaa
Apple
Matofaa
Apples
Jani
Leaf
Majani
Leaves
Yai
Egg
Mayai
Eggs
Rinda
Dress
Marinda
Dresses
Maji
Water
Mafuta
Oil
Maharagwe
Beans
Mahindi
Corn
Mali
Wealth
Maafa
Misfortune
Matata
Problems
Chungwa limenunuliwa.
The orange has been bought.
Machungwa yamenunuliwa.
The oranges have been bought.
Gari limefika.
The car has arrived.
Magari yamefika.
The cars have arrived.
Jicho linauma.
The eye hurts.
Macho yanauma.
The eyes hurt.
Blanket
Blanketi
Blankets
Mablanketi
Window
Dirisha
Windows
Madirisha
Car
Gari
Cars
Magari
Newspaper
Gazeti
Newspapers
Magazeti
Mattress
Godoro
Mattresses
Magodoro
Box
Sanduku
Boxes
Masanduku
Gas cooker
Jiko
Gas cookers
Meko
Veranda
Baraza
Verandas
Mabaraza
Bridge
Daraja
Bridges
Madaraja
Shop
Duka
Shops
Maduka
Farm
Shamba
Farms
Mashamba
Market
Soko
Markets
Masoko
Lake
Ziwa
Lakes
Maziwa
State
Jimbo
States
Majimbo
Name
Jina
Names
Majina
Mistake
Kosa
Mistakes
Makosa
Word
Neno
Words
Maneno
Issue
Jambo
Issues
Mambo
Stone
Jiwe
Stones
Mawe
Subject/Lesson
Somo
Subjects/Lessons
Masomo
Thought
Wazo
Thoughts
Mawazo
Answer
Jibu
Answers
Majibu
Question
Swali
Questions
Maswali
Responsibility
Jukumu
Responsibilities
Majukumu
Week
Juma
Week
Majuma
Eye
Jicho
Eyes
Macho
Tooth
Jino
Teeth
Meno
Shoulder
Bega
Shoulders
Mabega
Knee
Goti
Knees
Magoti
Ear
Sikio
Ears
Masikio
Stomach
Tumbo
Stomachs
Matumbo
Thigh
Paja
Thighs
Mapaja
Orange
Chungwa
Oranges
Machungwa
Mango
Embe
Mangoes
Maembe
Lemon
Limau
Lemons
Malimau
Pineapple
Nanasi
Pineapples
Mananasi
Pawpaw
Papai
Pawpaws
Mapapai
Coconut
Dafu
Coconuts
Madafu
Apple
Tofaa
Apples
Matofaa
Leaf
Jani
Leaves
Majani
Egg
Yai
Eggs
Mayai
Dress
Rinda
Dresses
Marinda
Water
Maji
Oil
Mafuta
Beans
Maharagwe
Corn
Mahindi
Wealth
Mali
Misfortune
Maafa
Problems
Matata
The orange has been bought.
Chungwa limenunuliwa.
The oranges have been bought.
Machungwa yamenunuliwa.
The car has arrived.
Gari limefika.
The cars have arrived.
Magari yamefika.
The eye hurts.
Jicho linauma.
The eyes hurt.
Macho yanauma.