Lesson 9b: Ki-Vi Noun Class Flashcards
Kiti
Chair
Viti
Chairs
Kitabu
Book
Vitabu
Books
Kiatu
Shoe
Viatu
Shoes
Kisu
Knife
Visu
Knives
Kikombe
Cup
Vikombe
Cups
Kilima
Hill
Vilima
Hills
Kisiwa
Island
Visiwa
Islands
Kiazi
Potato
Viazi
Potatoes
Kitunguu
Onion
Vitunguu
Onions
Kitu
Thing
Vitu
Things
Kitanda
Bed
Vitanda
Beds
Kioo
Mirror
Vyoo
Mirrors
Kiberiti
Match
Viberiti
Matches
Chuo
School
Vyuo
Schools
Choo
Restroom
Vyoo
Restrooms
Chakula
Food
Vyakula
Foods
Chumba
Room
Vyumba
Rooms
Cheti
Certificate
Vyeti
Certificates
Chama
Party/Association
Vyama
Parties/Associations
Chuma
Iron
Vyuma
Irons
Chombo
Container/Utensil
Vyombo
Containers/Utensils
Cheo
Rank
Vyeo
Ranks
Kichwa
Head
Vichwa
Heads
Kiuno
Waist
Viuno
Waists
Kifua
Chest
Vifua
Chests
Kidole
Finger
Vidole
Fingers
Kiarabu
Arabic
Kifaransa
French
Kiingereza
English
Kichina
Chinese
Kijapani
Japanese
Kichwa kinauma.
The head is hurting.
Vichwa vinauma.
The heads are hurting.
Chuo kimefungwa.
The school has been closed.
Vyuo vimefungwa.
The schools have been closed.
Kiti kilivunjwa.
The chair was broken.
Viti vilivunjwa.
The chairs were broken.
Chair
Kiti
Chairs
Viti
Book
Kitabu
Books
Vitabu
Shoe
Kiatu
Shoes
Viatu
Knife
Kisu
Knives
Visu
Cup
Kikombe
Cups
Vikombe
Hill
Kilima
Hills
Vilima
Island
Kisiwa
Islands
Visiwa
Potato
Kiazi
Potatoes
Viazi
Onion
Kitunguu
Onions
Vitunguu
Thing
Kitu
Things
Vitu
Bed
Kitanda
Beds
Vitanda
Mirror
Kioo
Mirrors
Vyoo
Match
Kiberiti
Matches
Viberiti
School
Chuo
Schools
Vyuo
Restroom
Choo
Restrooms
Vyoo
Food
Chakula
Foods
Vyakula
Room
Chumba
Rooms
Vyumba
Certificate
Cheti
Certificates
Vyeti
Party/Association
Chama
Parties/Associations
Vyama
Iron
Chuma
Irons
Vyuma
Container/Utensil
Chombo
Containers/Utensils
Vyombo
Rank
Cheo
Ranks
Vyeo
Head
Kichwa
Heads
Vichwa
Waist
Kiuno
Waists
Viuno
Chest
Kifua
Chests
Vifua
Finger
Kidole
Fingers
Vidole
Arabic
Kiarabu
French
Kifaransa
English
Kiingereza
Chinese
Kichina
Japanese
Kijapani
The head is hurting.
Kichwa kinauma.
The heads are hurting.
Vichwa vinauma.
The school has been closed.
Chuo kimefungwa.
The schools have been closed.
Vyuo vimefungwa.
The chair was broken.
Kiti kilivunjwa.
The chairs were broken.
Viti vilivunjwa.