Lesson 11: The Verb -na Flashcards
Nina
I have
Tuna
We have
Una
You have
Mna
You [pl.] have
Ana
He/She has
Wana
They have
Mimi nina kalamu.
I have a pen.
Sisi tuna kalamu.
We have a pen.
Yeye ana kitabu.
He/She has a book.
Wao wana vitabu.
They have books.
Nilikuwa na
I had
Tulikuwa na
We had
Ulikuwa na
You had
Mlikuwa na
You [pl.] had
Alikuwa na
He/She had
Walikuwa na
They had
Mimi nilikuwa na gari.
I had a car.
Sisi tulikuwa na magari.
We had cars.
Yeye alikuwa na kazi ya nyumbani.
He/She had homework.
Wao walikuwa na kazy ya nyumbani.
They had homework.
Nitakuwa na
I will have
Tutakuwa na
We will have
Utakuwa na
You will have
Mtakuwa na
You [pl.] will have
Atakuwa na
He/She will have
Watakuwa na
They will have
Mimi nitakuwa na kazi.
I will have work.
Sisi tutakuwa na kazi.
We will have work.
Wewe utakuwa na msaada.
You will have help.
Ninyi mtakuwa na msaada.
You [pl.] will have help.
I have
Nina
We have
Tuna
You have
Una
You [pl.] have
Mna
He/She has
Ana
They have
Wana
I have a pen.
Mimi nina kalamu.
We have a pen.
Sisi tuna kalamu.
He/She has a book.
Yeye ana kitabu.
They have books.
Wao wana vitabu.
I had
Nilikuwa na
We had
Tulikuwa na
You had
Ulikuwa na
You [pl.] had
Mlikuwa na
He/She had
Alikuwa na
They had
Walikuwa na
I had a car.
Mimi nilikuwa na gari.
We had cars.
Sisi tulikuwa na magari.
He/She had homework.
Yeye alikuwa na kazi ya nyumbani.
They had homework.
Wao walikuwa na kazy ya nyumbani.
I will have
Nitakuwa na
We will have
Tutakuwa na
You will have
Utakuwa na
You [pl.] will have
Mtakuwa na
He/She will have
Atakuwa na
They will have
Watakuwa na
I will have work.
Mimi nitakuwa na kazi.
We will have work.
Sisi tutakuwa na kazi.
You will have help.
Wewe utakuwa na msaada.
You [pl.] will have help.
Ninyi mtakuwa na msaada.