Lesson 13: Tenses Flashcards
-na-
[Present tense marker]
Mimi ninasoma Kiswahili.
I am studying Swahili.
Milango inaanguka
The doors are falling.
Kompyuta zinaongea!
The computers are talking!
Kitabu kinacheza?
The book is playing?
-me-
[Present perfect tense marker]
Mimi nimesoma Kiswahili.
I have studied Swahili.
Milango imeanguka.
The doors have fallen.
Kompyuta zimeongea!
The computers have talked!
Kitabu kimecheza?
The book has played?
-li-
[Past tense marker]
Mimi nilisoma Kiswahili.
I studied Swahili.
Milango ilianguka.
The doors fell.
Kompyuta ziliongea!
The computers talked!
Kitabu kilicheza?
The book played?
-ta-
[Future tense marker]
Mimi nitasoma Kiswahili.
I will study Swahili.
Milango itaanguka.
The doors will fall.
Kompyuta zitaongea!
The computers will talk!