Lesson 6: School Subjects Flashcards
Masomo
Studies/School subjects (Ji-Ma)
Afya ja jamii
Community health
Akiolojia
Archeology
Anthropolojia
Anthropology
Bayolojia
Biology
Biashara
Business
Botania
Botany
Dini
Religion
Elimu
Education
Elimu ya kompyuta
Computer science
Elimu ya maktaba
Library science
Elimu ya mazingira
Environmental science
Elimu ya siasa
Political science
Elimu ya mawasiliano
Communication studies
Elimu ya usimamizi wa fedha
Finance
Falsafa
Philosophy
Fasihi
Literature
Fizikia
Physics
Hisabati/Hesabu
Math
Historia
History
Isimu/Isimu ya lugha
Linguistics
Jiografia
Geography
Jiolojia
Geology
Kemia
Chenistry
Kihispania
Spanish
Lishe
Nutrition
Lugha
Language
Masomo ya Kiafrika
African studies
Masomo ya maendeleo
Development studies
Masomo ya wanawake
Women’s studies
Matibabu ya watoto
Pediatrics
Meteorolojia
Meteorology
Mipango ya miji
Urban planning
Muziki
Music
Saikolojia
Psychology
Sanaa
Fine arts
Sanaa za maonyesho
Theater arts
Sayansi
Science
Sayansi kimu
Home economics
Sayansi ya jamii
Social science
Sayansi ya mimea
Plant science
Sheria
Law
Sosholojia
Sociology
Uandishi
Journalism
Uchumi
Economics
Uganga/Udaktari
Medicine
Uhandisi
Engineering
Unesi
Nursing
Uongozi/Manejimenti
Management
Upasuaji
Surgery