Lesson 14a: Numbers and Fractions Flashcards
Sifuri
0
Moja
1
Mbili
2
Tatu
3
Nne
4
Tano
5
Sita
6
Saba
7
Nane
8
Tisa
9
Kumi
10
Kumi na moja
11
Kumi na mbili
12
Kumi na tatu
13
Kumi na nne
14
Kumi na tano
15
Kumi na sita
16
Kumi na saba
17
Kumi na nane
18
Kumi na tisa
19
Ishirini
20
Thelathini
30
Arobaini
40
Hamsini
50
Sitini
60
Sabini
70
Themanini
80
Tisini
90
Mia
100
Mia mbili
200
Mia tatu
300
Mia nne
400
Mia tano
500
Elfu
1,000
Elfu mbili
2,000
Elfu tatu
3,000
Elfu nne
4,000
Elfu tano
5,000
Laki moja/Elfu mia moja
100,000
Laki mbili
200,000
Laki tatu
300,000
Laki nne
400,000
Laki tano
500,000
Milioni
1,000,000
Milioni mbili
2,000,000
Milioni tatu
3,000,000
Milioni nne
4,000,000
Milioni tano
5,000,000
Bilioni
1,000,000,000
Bilioni mbili
2,000,000,000
Bilioni tatu
3,000,000,000
Bilioni nne
4,000,000,000
Bilioni tano
5,000,000,000
Thelathini na moja
31
Mia tatu na kumi
310
Mia tatu, kumi na saba
317
Elfu tatu, mia tatu kumi na saba
3,317
Laki tatu, mia tatu kumi na saba
300,317
Milioni tatu, laki tatu thelathini na tatu, mia tatu kumi na saba
3,333,317
Mwanafunzi mmoja
One student
Wanafunzi wawili
Two students
Wanafunzi watatu
Three students
Wanafunzi wanne
Four students
Wanafunzi watano
Five students
Wanafunzi sita
Six students
Wanafunzi saba
Seven students
Wanafunzi wanane
Eight students
Wanafunzi tisa
Nine students
Wanafunzi kumi
Ten students
Wanafunzi kumi na mmoja
Eleven students
Wanafunzi kumi na wawili
Twelve students
Mvulana mmoja
One boy
Wavulana wawili
Three boys
Kiti kimoja
One chair
Viti viwili
Two chairs
Mti mmoja
One tree
Miti miwili
Two trees
Jina moja
One name
Majina mawili
Two names
Ukuta mmoja
One wall
Kuta mbili
Two walls
Nyumba moja
One house
Nyumba mbili
Two houses
Madarasa manane
Eight classes