Lesson 18: Courses, Schedule, Routine Flashcards
Kosi
Course
Ratiba
Schedule
Ratiba ya kila siku
Daily schedule
Desturi/Shughuli
Routine
Desturi za kila siku/Shughuli za kila siku
Daily routine
Robo
Quarter
Semesta
Semester
Muhula
Term
Hadi/Mpaka
Until
Saa moja asubuhi hadi/mpaka saa mbili asubuhi: Huamka, hunawa uso, huoga na hula chakula cha asubuhi au hunywa kahawa.
From 7 AM to 8 AM: I wake up, I wash the face, shower, and eat breakfast or drink coffee.
Saa mbili asubuhi hadi/mpaka saa sita mchana: Huenda darasani, na husoma darasani.
From 8 AM to 12 PM: I go to class, and I study/read in class.
Saa sita mchana hadi/mpaka saa saba mchana: Hula chakula cha mchana na hulala kidogo.
From 12 PM to 1 PM: I eat lunch and sleep a bit.
Saa nane mchana hadi/mpaka saa kumi mchana: Huenda darasani tena.
From 2 PM to 4 PM: I go to class again.
Saa kumi na moja jioni hadi/mpaka saa moja usiku: Hucheza, hukimbia, hufanya mazoezi, na huenda kazini.
From 5 PM to 7 PM: I play, I run, I work out, and I go to work.
Saa moja usiku hadi/mpaka saa mbili usiku: Hula chakula cha jioni na huenda kwenye filamu.
From 7 PM to 8 PM: I eat dinner and go to a movie.
Saa mbili usiku hadi/mpaka saa tatu usiku: Hufanya kazi ya nyumbani na huenda mkutanoni.
From 8 PM to 9 PM: I do homework and go to a meeting.
Saa tatu usiku hadi/mpaka saa sita usiku: Husoma historia, hufanya marudio, na pia hupiga nguo pasi.
From 9 PM to 12 AM: I study history, I do a review, and I iron clothes.
Saa sita usiku hadi/mpaka saa kumi na mbili alfajiri: Hupumzika nyumbani mwangu na hulala hadi asubuhi.
From 12 AM to 6 AM: I rest at my house and sleep until the morning.
Wewe hufanya nini kila siku?
What do you do every day?