Lesson 20: Foods Flashcards
Chakula
Food
Vyakula
Foods
Mboga
Vegetable/Vegetables
Dengu
Lentils
Jibini
Cheese/Cheeses
Kabeji/Kabichi
Cabbage/Cabbages
Kiazi
Potato
Viazi
Potatoes
Haragwe
Bean
Maharagwe
Beans
Mahindi
Corn
Mahindi ya kuchoma
Roasted corn
Mbaazi
Pea/Peas
Mchele
Uncooked rice
Wali
Cooked rice
Mchicha
Spinach
Mchuzi
Soup
Michuzi
Soups
Muhogo
Cassava
Mihogo
Cassavas
Nyama
Meat/Meats
Nyama ya kondoo
Mutton
Michicha
Spinaches
Nyama ya kuku
Chicken meat
Nyama ya mbuzi
Goat meat
Nyama ya ng’ombe
Beef
Nyama ya nguruwe
Pork
Nyama ya kuchoma
Roasted/grilled meat
Kuku
Chicken
Samaki
Fish
Pilipili
Pepper
Pilipili hoho
Chili pepper
Pilipili manga
Black pepper
Pilipili saumu
Pepper garlic
Pilipili kichaa
Hot pepper
Siagi
Butter
Sukuma wiki
Collard greens
Unga
Flour
Unga wa mahindi
Corn flour
Unga wa ngano
Wheat flour
Yai
Egg
Mayai
Eggs
Vitafunio
Snacks
Mkate
Bread
Mikate
Breads
Mandazi
Bun/Buns
Sandwichi
Sandwich
Kimanda
Toast
Chapati
Indian flat bread
Ugali
Stiff cornmeal porridge
Njugu
Groundnut/Peanuts
Karoti
Carrot/Carrots
Choroko
Green peas
Njegere
Pigeon peas
Bamia
Okra
Kisamvu
Cassava leaves
Figo
Kidney/Kidneys
Maini
Liver/Livers
Matumbo
Intestine/Intestins/Tripe
Mbatata
Irish potatoes
Biringani
Eggplant
Mabiringani
Eggplants
Saladi
Salad
Brokoli
Broccoli
Pasta
Pasta
Pizza
Pizza
Pipi
Candy
Chokoleti
Chocolate
Isikirimu
Ice cream
Keki
Cake
Mgando
Yogurt
Mchanganyiko
Mixture
Supu
Soup
Uyoga
Mushroom
Uji
Porridge
Viazi vikuu
Sweet potatoes
Kaimati
Fritter/Fritters
Pilau
Pilaf
Sambusa
Samosa/Samosas
Kande
Dish of mixed corn and beans
Ndizi
Banana/Bananas
Kibanzi
French fry
Chipsi/Vibanzi
French fries
Borohoa/Vihembe
Thick broth of cooked beans