Lesson 10: Family Flashcards
Jamaa/Familia
Family
Babu
Grandfather
Babu mkubwa/Babumkuu
Elder grandfather
Nyanya/Bibi
Grandmother
Nyanya mkubwa/Bibi mkubwa/Nyanyamkuu/Bibimkuu
Elder grandmother
Mzazi
Parent
Baba
Father
Baba mkubwa/Babamkuu
Elder uncle (paternal)
Baba mdogo
Younger uncle (paternal)
Baba wa kambo
Stepfather
Mama
Mother
Mama mkubwa/Mamamkuu
Elder aunt (maternal)
Mama mdogo
Younger aunt (maternal)
Mama wa kambo
Stepmother
Mke/Bibi
Wife
Mume
Husband
Mtoto/Mwana
Child
Kaka
Brother
Dada
Sister
Ndugu
Sibling/Comrade/Friend
Mzee
Elder
Mjomba/Ami
Uncle [general, but normally paternal]
Shangazi/Mbiomba
Aunt [maternal]
Mpwa
Nephew
Binamu
Cousin
Binti
Daughter of
Bin
Son of
Mvulana
Boy
Msichana
Girl
Kijana
Youth/Teenager/Young man
Mkwe
In-law
Mama mkwe/Mavyaa
Mother-in-law
Baba mkwe/Bavyaa
Father-in-law
Mkaza/Mkaza mwana
Daughter-in-law
Shemeji/Mwamu
Sister-in-law/Brother-in-law [relative by marriage]
Wifi
Sister-in-law [brother’s wife or husband’s sister]
Mwanamke
Woman
Mwanamume
Man
Kifungua mimba
First born child
Kitinda mimba/Kifunga mimba
Last born child
Mjukuu
Grandchild
Kitukuu
Great grandchild
Kinying’inya
Great great grandchild
Kilembwe
Great great great grandchild
Kilembwekeza
Great great great great grandchild
Kitojo
Great great great great great grandchild
Mwanyumba
Different men who have married blood sisters
Wakewenza
Co-wives
Nina
I have
Sina
I don’t have