Misc 9 Flashcards
-bovu
Rotten, unfit for use
Hebu/jamani
For calling attention
Kupasuka
To burst, split
Kukataa
To refuse
Kutumaini
To hope
Kushukuru
To give thanks, thank
Kubadilisha
To change
Kufikisha
To enable to reach
Kupatikana
To be available
Kupiga kelele
To make noise
Kupata pancha
To get a puncture
Kutia jeki
To use a jack
Kupiga stati
To start the car (by key or button)
Joto
C5, hot
Kilele/vilele
Peak, top of mountain or tree
Kifaa/vifaa
Equipment, useful thing
Kiongozi/viongozi
Guide
Fimbo
C9&10, stick, walking stick
Miwani
C9&10, glasses
Pua
C9&10, nose
Barafu
C9, ice
Theluji
C9, snow
Ruhusa
C9&10, permission
-o -ote
Any at all, any whatsoever
-enyewe
Oneself
Kupanda
To climb
Kuteremka
To descend, climb down
Kuanguka
To fall
Kufuatana na
To accompany, go together with
Kutakia
To wish
Kutakiwa
To be required
Kufaulu
To succeed, pass exams
Moto
C3, fire
Hema/mahema
Tent
Malazi
C6, accommodation