Misc 2 Flashcards
La kipindi hiki
Today (in today’s world)
Kuamua
To decide
Kusahau
To forget
Kudhani
To think, suspect, guess
Akili
Mind, smartness
Ubongo
Brain
Mara moja
At once, immediately
Kuchuma
To pick, to pluck out
Kizazi
Generation
Kila mahani
Every where
Kila sehemu
Every where
Mfalme/wafalme
King
Ufalme
Kingdom
Kifo
Death
Kuruhusu
To allow
Ruhusa
Permission
Neema
Grace
Kichaa
Insane person
Dondoo
C9, outline
Kulalamika
To complain
Kutiamoyo
To encourage
Tofauti
Different
Unabii ni kutia nguvu na kutiamoyo
Prophesy is to strengthen and encourage
Ana umri wa ……
She has the age of …..
Umri
Age
Siafu
Ants
Waefeso
Ephesians
Kwa utii
In obedience
Jumapili ya kwanza ya mwezi
First Sunday of the month
Kuchagua
To choose
Hii ni kweli
This is true
Maneno ya kutiamoyo
Encouraging words
Mtia/watia moyo
Encouraging person
Fulani
A certain (person/thing)
Salaam
Greetings
Kugundua
To realise, discover, find out
Huzuni
Sad
Twenda ndege
To fly
Ila
Except
Kusimama
To stand, stop
Kupasha
To heat (food or drink)
Hukamua
To milk
Huko
There
Kupanga
To arrange, to plan
Mawingu
Clouds
Askofu
Bishop
Wiki tatu zilizopita
Three weeks ago
Mwiko
Wooden spoon
Kukoroga
To stir
Wakati nipo hapa
While I’m here
Nisinunue
I should not buy
Siwezi kukaa njaa
I cannot stay hungry
Kukosa
To lack, miss, make a mistake
Sebule
C9&10, Sitting room
Kituo/vituo
Station
Mbalimbali
Various, different
Chini
Down
Kupanda
To plant, to climb
Kukubali
To agree
Kuamua
To decide
Uamuzi
Decision
Kugeuka
To turn
Kuharibika
To break
Kizamani
Old
Muuguzi
Nurse
Dini
Religion
Uaminifu wa Mungu
Faithfulness of God
Maarifa
Knowledge
Kuandika nguo
To put clothes outside to dry
Kilimo
Agriculture
Msaada
Help, aid
Kuokoka
To be saved
Hatua
Step
Mgomba/migomba
Banana tree
Kichororo
Little village paths