Misc 6 Flashcards
Ni Sawa kwangu
It’s okay for me
Kuchosha
Tedious
Kutafsiri
To translate
Sehemu gani
Which part
Mwerevu
Clever
Kutokea
To appear, happen
Mtafsiri
Translator
Mkalimani
Translator
Kupaka rangi
To paint
Kupiga deki
To wash the floor
Kudeki
To wash the floor (native speakers)
Uangalifu
Carefulness
Kuwa mwangalifu
To be careful
Ramani
Map
Mgomba/migomba
Banana tree
Mgomba/migomba
Banana tree
Pazia/mapazia
Curtains
Suruali
Trousers
Changamoto
Challenge
Kutania
To tease
Utani
Tease
Mahubiri
Sermon
Kusherekia
To celebrate
Sherehe
Party, celebration
Uchesi
Comedy
Unapenda movie ipi Sana?
Which movie is your favourite?
Kutimiza agani
To keep covenant
Kuisha
To live
Kuchanganya
To mix, confuse
Kupendeza
Look good, to be pleased
Hakika
Certainty
Kuwa na hakika
To be certain
Nina uhakika
I am certain (native speaker)
Kipaji
Talent
Kupitia
To go through, check, edit
Anguko la mwanadam
Fall of man
Mwana
Son
Mwenye dhambi
With sin (sinner)
Divai
Wine
Si wa kawaida
Unusual
Fursa (sounds like furusa)
Opportunities
Kuhudumia
To minister to
Utambulisho
Identity
Kitambulisha
Identity card
Kumiza
To hurt
Kusamehe
To forgive
Msamaha
Forgiveness
Ibaada ya
Service
Niko ibaadani
I am in the service now
Kupokea
To receive
Shukrani
Gratitude
Taji/mataji
Crown
Kuzumgumza
To converse
Mazumgumzo
Conversation
Majivu
Ashes
Rangi ya kijivu
Grey
Kufikia
To reach to
Kupotea
To disappear, get lost
Kupasuka
To burst
Msaada/misaada
C3&4, help, assistance
Shauri/mashauri
C5&6, advice
Jembe/majembe
C5&6, hoe
Zao/mazao
C5&6, product, produce, crop
Gugu/magugu
Weed
Mavuno
C6, harvest (both the crop and the work of harvesting)
Mahindi
C6, maize, corn
Afisa/maafisa
C5&6 (animate), officer
Kilimo
C7, agriculture, cultivation
Mbolea
C9, fertilizer
Samadi
C9, manure, cow dung
Chumvichumvi
C9, artificial fertilizer
Mbegu
C9&10, seed
Plau
C9&10, plough
Faida
C9&10, profit
Hodari
Energetic, able, effective
Ili
In order to, so that
Jinsi ya
How to
Mara kwa mara
Frequently