Misc Flashcards
Msaidizi/wasaidizi
Assistant
Uamsho
Revival
Walimpata Yesu
They found Jesus
Walimkubali Yesu
They accepted Jesus
Walimjua Yesu
They know Jesus
Kubatizwa
To baptise
Kusamehe
To forgive
Msamaha
Forgiveness
Kusubiri
To wait
Kuokoka
To be saved
Kuzaliwa mara ya pili
To be born again
Mwokozi
Saviour
Methali
Proverb
Muhimo
Important
Unaonaje?
What’s your opinion
Imani
Faith
Mara mbili Kwa wiki
Every two weeks
Matumizi
Expenses
Mshumaa/mishumaa
Candles
Jibuni
Cheese
Nyakati
Chronicles
Karata
Cards
Kutafsiri
To translate
Injili
Gospels
Sabato
Sabbath
Kupasha
To heat
Lazima (+infinitive/subjunctive)
It’s a must
Nilikuwa nimetoka kila siku
I have been out all day
Wakati nipo
While I was there
Kubumoa
To demolish
Kila baada ya wiki mbili
Every two weeks
Juu ya
About
Kuhusu
About
Kuokota
To pick up
Jangwa la
Desert of….
Sura
Chapter
Mstari/mistari
Verse
Itakuwaje
What will it be like
Hawakai pamoja
Not together
Kuwaka
To burn
Moto
C11, fire
Mpendwa rafiki
My dear friend
Kutakia
To wish for someone
Kuombea
To pray for someone
Kipawa
Gift
Karama
Gift (used most in the Bible)
Kwa hiyo
So
Wachache
Few
Baadhi
Some
Baadhi yao
Some of them
Kugawa
To divide
Kugawia
To share with
Kuvundika
To ripen (bananas)
Garama
Cost
Kuongelea
To talk about
Kuigiza
To act
Igizo/maigizo
C5&6, a drama
Kuamini
To believe
Kupikia
To cook for
Jirani
C9&10, Neighbour
Kupoteza
To lose
Kufaa
To be useful, good, suitable
Yafaa
Suitable
Chakula bora
Nutritious food
Kwa njia gana
How?
Kwa namna gani
How?
Usahihi
Properly
Kwa usahihi
In a proper way
Kuliko
More than
Zaidi ya
More than
Ya kuzaliwa
From birth
Tabea
Habits, behaviour
Uvivo
Laziness
Ujasiri
Confidence
Wazo/mawazo
Idea