Invariables Flashcards
Asante
Thank you
Leo
Today
Sana
Very
Sasa
Now
Hodi
Knock Knock
Karibu
Near (welcome, come in)
Ndiyo
Yes, it is so
Tu
Only, just
Sivyo
It is not so
Sivyo?
Is it not so? Right?
Hapa
Here, in this place
Kwa
With, for, by way of
Hapana
No
Kwa bidii
Energetically, with effort
Tena
Again, besides, further
Haya
Now then! Okay! Come on!
Au
Or
Au…..au…..
Either…..or…..
Kwa heri
Good bye
Jana
Yesterday
Pia
Too, also
Kweli
Truly, really
Katika
In
Tayari
Ready
Kwamba
That
Lakini
But, however
Kila
Every
Pole
Expression of sympathy
Hivi
Thus, like this, this way, approximately, about
Salama
Safe, safely
Kwa sababu
Because
Bila
Without
Hata
Even, up to, until
Mapema
Early
Afadhali
Preferable, better
Kabisa
Absolutely, totally
Kesho
Tomorrow
Bila shaka
No doubt, undoubtedly
Hata kidogo
Even a little bit (usually used on the negative sense, not even a little)
Safi
Clean, pure, clear, sincere, correct, in order
Tafadhali
Please, be so kind
Haya
This/these (cl6)
Bado
Not yet, as yet
Kumbe
Exclamation of surprise
Baada ya
After
Hawa
These (cl2)
Hasa
Especially
Kama
Like, such as, if
Tangu
Since, from (a point of time)
Kwa mfano
For example
Upesi
Quickly
Sasa hivi
Right now, immediately
Yaani
That is, that is to say
Na kadhalika (n.k.)
Similarly
Mbali
Far
Mbali na
Far from
Huko
There, over there
Wala
Nor (used with negative)
Nje
Outside (adverb)
Nje ya
Outside (preposition)
Peke y-
Alone, by oneself
Lazima
Necessary
Juu
On, high, up
Juu ya
On, over, on top of, about, regarding, concerning
Lini?
When?
Kwa hiyo
Therefore
Halafu
Afterwards, then
Pamoja
Together
Pamoja na
Together with
Kwa kuwa
Because
Kuwa
That
Bora
Good, excellent, good quality
Mpaka
Until, up to
Juzi
The day before yesterday
Sawa na
Equal to, just the same
Zaidi
More
Zaidi ya
More than
Kamili
Complete
Kasa/kasoro
Lacking
Kabla ya
Before
Kwa kawaida
Usually
Kaskazini
North
Kusini
South
Mashariki
East
Magharibi
West
Katikati
Centre, in the middle
Kati
Centre
Kati ya
Between, in the midst of
Yaani
That is, that is to say, in other words
Kwa maana
Because
La
No
Rahisi
Easy, cheap (of price)
Mara moja
Immediately
Ndani
Inside
Ndani ya
Within, inside of
Kutoka, toka
From
Salaam
Greetings, peace
Ila
Except
Kushoto
Left
Kulia
Right
Moja Kwa moja
Straight on, directly without diversion
Mbele
Ahead, forward
Mbele ya
In front of
Mbalimbali
Different, various