Biblical Swahili Flashcards
Uamsho
Revival
Walimpata Yesu
They found Jesus
Walimkubali Yesu
They accepted Jesus
Walimjua Yesu
They knew Jesus
Kubatiza
To baptize
Kubatizwa
To be baptized
Kusamehe
To forgive
Msamaha
Forgiveness
Kuokoka
To be saved
Kuzaliwa mara ya pili
To be born again
Mwokozi
Saviour
Methali
Proverbs
Imani
Faith
Nyakati
Chronicles
Injili
Gospels
Sabato
Sabbath
Sura
Chapter
Mstari/mistari
Verse
Karama
Gift
Kuimani
To believe
Amani
Peace
Ujasiri
Confidence
Ufalme
Kingdom
Mfalme/wafalme
King
Mfalme wa wafalme
King of kings
Neema
Grace
Reema
Mercy
Kutiamoyo
To encourage
Waefeso
Ephesians
Kwa utii
In obedience
Kuchagua
To choose
Maneno ya kutiamoyo
Encouraging words
Mtiamoyo/watiamoyo
Encouraging person
Askofu
Bishop
Dini
Religion
Uaminifu wa Mungu
Faithfulness of God
Maarifa
Knowledge
Mjane/wajane
Widow
Kuhukumu
To judge
Aibu
Shame
Utamaduni
Culture
Mfuasi
Disciple
Ufuasi
Discipleship
Mahubiri
Preach, sermon
Agano la kale
OT
Agano jipya
NT
Agano
Covenant
Asili ya Mungu
Nature of God
Kiini/mada/ujumbe
Theme, message
Mtazamo
View, perspective
Mtazamo wa Kibiblia
Biblical perspective
Kujaribiwa
To be tempted
Kupaka mafuta
To anoint with oil