Misc 5 Flashcards
Kudhuru
To harm/damage
Haidhuru
It does not harm
Haijalishi
It does not matter
Kujali
To care
Kujalisha
It matters (though a verb, it is not usually used with prefixes or tenses)
Vumbi
Dust
Kuhangaika
To be worried
Wasiwasi
Worry/anxiety
Usiwe na wasiwasi
Don’t be worried
Kuotesha
To plant/to grow/ to make someone dream
Kuota
To germinate/to dream
Kuteleza
To slide
Kukwama
To stick
Ndoto
Dream
Ngazi
Ladder
Kukausha
To dry (something)
-ingi kupita kiasi
Too much
Ujasiri
Confidence
Zaburi
Psalms
Nipo karibu kumaliza
I am close to finishing
Kuchagua
To choose
Uchaguzi
Choice/election
Kinachio fuata
Which follows
Kutoa damu
To take blood
Kinyume
Opposite
Kinyume cha
Opposite of
Karamu ya mwisho
Last supper
Karamu
Banquet
Meza ya Bwana
Lord’s supper
Ukulivu
Silence/calmness