Misc 8 Flashcards
MTU mwenye shamba
A farm owner
Watu wenye msaada
Helpful people
Msaada wenye faida
Profitable help
Miti yenye matunda
Fruit bearing trees
Daraja lenye hatari
A dangerous bridge
Maneno yenye maana
Meaningful words
Kilimo chenye faida
Profitable agriculture
Vitambaa vyenye maji
Wet cloths
Lugha yenye maneno magumu
A language with difficult words
Mbegu zenye nguvu
Strong seeds
Uso wenye furaha
A happy face
Mahali penye shida
A troublesome place
Mjini kwenye maduka
In town where the shops are
Mmea/mimea
Plant
Mzizi/mizizi
Root
Tope/matope
Mud
Vumbi/mavumbi
Dust
Kiasi
C7, amount
Hakika
C9&10, certainty
Utelezi
Slipperiness
-enye
Having, with (followed by a noun)
Ikiwa
If
Ingawa
Even though
Ijapokuwa/ijapo/japo
Even though
Kupita kiasi
Too much
Kunyesha
To drop as rain
Kudhuru
To harm, damage
Kudhurika
To get damaged
Kuteleza
To slip, slide, be slippery
Kukwama
To get stuck (literally and figuratively)
Kuotesha
To grow, raise, cause to sprout
Kukauka
To dry up, get dry
Kuhangaika
To be worried, confused
Kusafiri
To travel
Hatuna la kufanya
There is nothing to do
Sina la kusema
I have nothing to say
Sina la zaidi
I have nothing more
Neno la kusema
A word to say
Jambo la kufanya
Something to do
Ukipenda usipende
Like it or not
Ikinyesha isinyeshe
If it rains it not
Ni sawa kwangu
It’s okay with me
Kutaja
To mention
Taja
Mention
Kiatu/viatu
Shoes
Rangi
C9&10, colour
Ardhi
C9&10, soil, dry land
Tofauti
C9&10, difference
Nia
C9&10 purpose, intention
Maskini
Poor person
Unywele, nywele
Hair
-chafu
Dirty, soiled
-fupi
Short
-eupe
White
-eusi
Black
-ekundu
Red
Laini
Soft, pliable
Tofauti (na)
Different (from)
Hali
Seeing that, meanwhile, since
Vilevile
Likewise, in the same way
Kuchafuka
To get dirty
Kuchafua
To make dirty
Kubadili
To change, exchange
Kubadilika
To get changed
Kuvaa
To dress, put on clothes
Rangi ya kijani
Green
Rangi ya samawati
Blue
Rangi ya manjano
Yellow
Rangi ya zambarau
Purple
Rangi ya kijivu
Gray
Rangi ya kahawia
Brown
Burashi ipi?
Which brush?
Wanafunzi wepi?
Which students?
Mwanafunzi yupi?
Which student?
Vipi?
How?
Alikusaidia vipi?
How did he help you?
Vipi ndugu?
How goes it friend?
Mpango/mipango
Plan, arrangement
Wazo/mawazo
Thought, idea
Kipini/vipini
Handle
Ngazi
Ladder, stairs
Rangi
Colour, paint
Dari
Ceiling
Sakafu
Concrete floor
Fulani
So and so, such and such (referring both to people and things)
Uangalifu
Carefulness
Kwa uangalifu
Carefully
Lo
Expression of surprise
-pi?
Which?
Kukoroga
To stir
Kuchanganya
To mix
Kupaka
To paint, smear, apply
Kupanga
To plan, arrange, hire, rent
Kuzungumza
To talk, converse
Kupiga deki
To wash the floor
Kudeki
To wash the floor
Kupendeza
To please
Kufurahia
To be glad about