Misc 3 Flashcards
Mjane/wajane
Widow
Laini
Soft
Kulainishwa
To be softened
Kuishi
To live, survive
Hatari
Danger
Hatarini
In danger
Kuna giza
There is darkness
Hamna umeme
No power
Kuhukumu
To judge
Aibu
Shame
Utamaduni
Culture
Panga
Machete
Kudumu
To last
Homa
Fever
Mfuasi
Disciple
Ufuasi
Discipleship
Mahubiri
Preach, sermon
Agano la kale
Old Testament
Agano jipya
New Testament
Agano
Covenant
Mpangalio
Order
Kipande/vipande
Chunk
Asili ya Mungu
Nature of God
Kiini/ujumbe
Theme, message
Mtazamo
View, perspective
Mtazamo wa Biblia
Biblical view
Kudeki
To mop
Sakafu
C9&10, floor
Kutupa
To throw away
Kurusha
To throw (am object)
Kutania
To tease
Ukani
C11, joke
Jaribu
A trial
Kujaribiwa
To be tempted
Nyani
Monkey
Lilipinduka
It was overturned
Kupinduka
To overturn
Kumimina
To pour
Kupaka mafuta
To anoint with oil
Ndani zaidi
Deeper
Mtu ye yote
Any person
Kusudi
Intention, will
Ilikuwa kusudi lake
It was his intention
Mtume/mitime
Apostle
Nabii/manabii
Prophet
Mwinjilisti/wainjilisti
Evangelist
Ufunuo
Revelation
Kupanga
To set (a play), to rent, to arrange
Mistari
Lines
Kwa ajili ya
For the sake of
Kuchanganya
To confuse, mix
Inachanganya
It’s confusing
Sauti
Voice
Kwa sauti
Loudly
Kupiga kulele
To shout
Kongamano
Conference
Kuchosha
To tire
Kuhama
To move
Kuhamia hapa
To move here
Alifungwa
He was wrapped
Hapo
There
Nyuki
Bees
Zamani
Long time ago
Kale
Ancient
Hapo zamani za kale
Once upon a time
Pango/mapango
Cave
Kutetemeka
To shiver
Mkutano
Meeting
Kupitisha
To pass
Kupitishwa
To be passed
Mzinga/mizinga
Hives
Ulimbo
Sticky substance
Kuonja
To taste
Kugundua
To realise, discover
Kuamsha
To wake someone up