Kiswahili Vocabulary Week 2 Flashcards
Tena
Again
Halafu
And then
Kwahiyo
So
Baada ya
After
Siku hii
This day in prticular
Leo hii
This day
Leo asabuhi
This morning
Leo mchana
This afternoon
Leo jioni
This evening
Leo usiku
This night
Tamu
Delicious
Maunivu
Pain
Mbwa
Dog
Njaa
Hungry
Kiu
Thirsty
Wasiwasi
Worried
Mvulana
Boy
Mischana
Girl
Chini ya
Under
Nina nini?
What do i have?
Bila
Without
Pole pole
Slowly
Vizuri
Well
Pombe
Alcohol
Kiingereza
English language
Watumishi
Servants
Vibaya
Badly
Zawadi
Gift
Haiwezekani Kangu haiwezikani
Impossible It is impossible to/for me
La
Of Eg. Darasha la kiswahili
Wanawake
Women
Afya
Health (Also, used in cheers at a game, etc., “Afya, Afya!”)
Basi
That is all
Bila sukari
WithOUT sugar
Mwuzaji Muuzaji
Person who sells
Nje
Outside
Dau
Dhow Traditional swahili ship
Tanga
Sail boat
Balgahashia
Muslim Head Cap (men)
Kofia
Hat or cap
Kanzu
Muslim men’s gown
Buibui Hijabu Ikabu
Black gown (women) Covering for head (not face) (women) Covering for all of face except for eyes (women)
Labda Sina nafasi, labda keso.
Maybe Not this time, maybe tomorrow.
Rais Marais
President Presidents
Askari (s. & pl.)
Soldier(s)
Mlinzi Walinzi
Watchman Watchmen
Mtu wa bustani
Person of the garden
Kila mara
Always
Jirani (s. & pl.)
Neighbor(s)
Mlevi Walevi
Drunkard Drunkards
-zuri
Good
-baya
Bad
-kubwa
Big
-dogo
Small
-refu
Tall, long
-fupi
Short
-chafu
Dirty
Ingine
Another Mtoto mweingine. (Another child.) Watoto wengine. (Other children.)
Ingi
Many Watoto wengi. Many children.
Vitau vya wazi Or Sendo
Open shoes Sandals
Kiongozi Viongozi
Leader Leaders
Wanawake
Women
Wanaume
Men
Njoo Njooni
Come Come(s) Polite to say, “Njoo, tafadahli”. Rather than ‘kuja’–(rude
Wiki ijayo
Next week
Wiiendi
Weekend
Siku gani?
Which day?
Wiki gani?
Which week?
Wiki hii
This week
Wiki iliyopita
Last week
Mwezi Miezi
Month Months
Mwaka Miaka
Year Years
Mwezi huu
This month
Mwaka huu
This year
Mwezi iliyopitia
Last month
Mwezi ujao
Next month
Mwakani
Next year
Tarehe
Date
Tarehe gani? Or Tarehe ngapi?
Which date?
Huu
This
Jumamosi
Saturday (‘Mosi” is old kiswahili for 1st)
Jumapili
Sunday
Jumatatu
Monday
Jumanne
Tuesday
Jumatano
Wednesday
Alhamisi
Thursday (Day before ‘Allah’s Day)
Ijumaa
Friday
Mwezi wa kwanza
Januari
Mwezi wa pili
Februari
Mwezi wa tatu
Marchi
Mwezi wa nne
APrili