Kiswahili- Useful Phrases Week 1 Flashcards
1
Q
Nina swali
A
I have a question
2
Q
Ninajua kiswahili kidogo
A
I know a little swahili
3
Q
Chai kavu
A
Tea without sugar or milk (Kavu literally means “dry.”)
4
Q
Sijui sana kiswahili
A
I do not know much Swahili.
5
Q
Subiri Kidogo
A
Wait a bit
6
Q
Chakula kitamu
A
The food is delicious.
7
Q
Unasemaje……….kwa kiswahili?
A
How do you say………….. in Swahili?
8
Q
Choo kiko wapi?
A
Where is the bathroom?
9
Q
Tutaonana kesho. Tutaonana baadae.
A
See you tomorrow. See you later.
10
Q
Hamna shida
A
No problem
11
Q
Samahani
A
Excuse me
12
Q
Bei gani? Shilingi ngapi?
A
How much? How many shilings?
13
Q
Nimefurahi kukutana nawe.
A
Happy / Nice to meet you
14
Q
Ninaomba….
A
I am requesting… (From omba, to pray)
15
Q
Nisaidie…
A
Please help me with….
16
Q
Leo ni Joto
A
Today is Hot
17
Q
Wewe ni nani?
A
Who are you?