Kiswahili Home Things Week 3 Flashcards
Sofa Swichi Boksi
Sofa Switch Box
Kabati
Cabinet
Birika la kuchemshia maji
Kettle (lit. ‘…for boiling water’)
Majani ya chai
Tea leaves
Upawa
Cooking spoon
Jiko Jikoni
Kitchen OR charcoal cooking stove In the kitchen
Mtungi wa gesi
Gas tank
Bakuli
Bowl
Mchi wa chapati
Chipati roller
Kisu / visu
Knife / knives
Kijiko / vijiko Kijiko cha chai
Spoon Tea spoon
Uma / nyuma
Fork (s)
Chujio
Strainer /sieve
Sahani
Large plate (s)
Kisahani / visahani
Small plate (s)
Sufuria
Pot
Kikaango / Vikaango
Frying pan (s)
Mfuniko / vifuniko
Lid (s) or top (s)
Kikombe / vikombe Glasi
Cup (s) Glass
Kizoleo / vizoleo
Dust pan
Vumbi
Dust
Takataka
Trash
Shimo la takataka
Hole in the ground for trash
Kitambaa cha kukaushia
Cloth to make dry Small hand towel
Taulo
Towel
Chombo / vyombo
Tool (s) of the trade…. Tool, vessel, utensil, etc.
Sabuni ya maji Sabuni ya kipandi Sabuni ya unga Sabuni ya kuogea
Liquid soap Bar soap Powdered soap Shower soap
Hot Poti
‘Hot pot” Insulated Container with lid used to keep food warm
Kitanda / vitanda
Bed (s)
Godoro
Mattress
Bomba la maji
Faucet
Jiko le gesi Jiko la umeme Jiko la mkaa Jiko la kuni Jiko la mafuta ya taa
Gas stove Electric stove Charcoal stove Wood stove Kerosene stove
Choo cha kuaa Choo cha kuchuchumaa
Sitting toilet Squatting toilet
Sakafu
Floor
Ufagio
Broom
Tambaa la deki
‘Towel for deck’ Rag used to clean floor
Chumba / Vyumba
Room (s)
Chandalua / vyandalua
Mosquito net (s)