Kiswahil - Greeting & Introductions Flashcards
Jina langu ni…
My name is
Lakini (kiMaasai) Ninaitwa…..
But I am called (in Maasai)…
Ninatoka Marekani Jiji la…. Mji wa… Vero Beach, Florida
I am from America, the town of Vero Beach, Florida. (Jiji la = CITY)
Lakini sasa Ninakaa KENYA Jiji la… Mji wa KAREN
But now I am staying in KENYA, In the CITY of… In the town of Karen
Ninafanyakazi… Kanisani Hospitalini Zahanati Kliniki
I am working in the church Hospital Pharmacy Clinic
Mimi ni… Mwalimu Mchungaji Profesa Daktari Muuguzi
I am a… Teacher Pastor Professor Doctor Nurse
Jina langu ni…. Na huyu ni mume/mke wangu; anaitwa… Daktari CAWS Mchungaji FFS
My name is ….. And this is my husband / wife; s/he is called… Dr. CAWS Pastor FFS
Hodi, hodi!
Knock, knock. I am here….
Karibu Karibu Ndani Fungua mlango
Welcome Welcome inside Open the door
Karibu Kiti
Welcome, sit.
Unaitwa Nani?
What are you called?
Unatoka mji gani?
Which town are you from?
Samahani
Excuse me
Hamna shida
No problem
Bei gani? Shilingi ngapi? (Shortens to “Shingape”)
How much? How many shillings?
Sema pole pole
Speak slowly
Ninaomba…. Nisaidie
I am requesting…. Please help me with….
Nimefurahi kukutana nawe
Happy / Nice to meet you
My name is
Jina langu ni…
But I am called (in Maasai)…
Lakini (kiMaasai) Ninaitwa…..
I am from America, the town of Vero Beach, Florida. (Jiji la = CITY)
Ninatoka Marekani Jiji la…. Mji wa… Vero Beach, Florida
But now I am staying in KENYA, In the CITY of… In the town of Karen
Lakini sasa Ninakaa KENYA Jiji la… Mji wa KAREN
I am working in the Church / Hospital / Pharmacy / Clinic
Ninafanyakazi… Kanisani / Hospitalini / Zahanati / Kliniki