Somo la tatu (3) - Kununua matunda sokoni Flashcards
Sema? (Unasemaje?)
Tu dis quoi ?
Kama unavyoona
Comme tu peux le voir
noix de coco
nazi, manazi (5/6)
ananas
nanasi, mananasi (5/6)
banane
ndizi (9/10)
orange
chungwa, machungwa ( 5/6)
pomme
tofaa, matofaa (5/6)
poire
pea, mapea (5/6)
mangue
embe, maembe (5/6)
avocat
mparachichi, maparachichi (5/6)
adabu
politesse, bon comportement
kuamkia
saluer
Mbona huniamkii mimi?
Pourquoi ne me salues-tu pas ?
De quand datent ces mangues ?
Maembe haya ya lini?
Tu es sûr ?
Una hakika?
Tu le vois bien n’est-ce pas ?
Si unaona lakini?
Fermer =/= Ouvrir
Kufunga =/= Kufungua
Kupata
Obtenir
Où as-tu obtenu ces petits sacs?
Kimfuko hiki umekipata wapi?
Comprendre
Kuelewa, Kufahamu
Hebu! / Hebo! / Ebu! / Ebo!
Bon ! (devant un verbe à l’impératif)
Kitenzi “-ko”
Verbe locatif “-ko”
Maagizo
Impératif
Kukanusha wakati uliopo
Présent négatif