Somo la saba (7) - Maneno mapya, hali ya amri (impératif), hali ya ombi (optatif/subjonctif) Flashcards
kuandaa
organiser, préparer
kujiandaa
se préparer
mkutano, mikutano (3/4)
réunion, assemblée, rencontre
riziki (9/10)
moyen de subsistance
kutokana
résulter de
mvuvi, wavuvi (1/2)
pêcheur
hasa
spécialement, en particulier
kwa hakika
à vrai dire, en vérité
nafasi (9/10)
opportunité, occasion
sikukuu (9/10)
fête, célébration
sherehe
fête
kuni
bois de chauffage
kufua
faire une lessive
kutafuta
chercher
Bahari la Hindi
Océan Indien
Bahari la Kati
Mer Méditerranée
Bahari la Sham
Mer Rouge
Bahari la Atlantiki
Océan Atlantique
kufautisha
différencier, distinguer
kucheza mpira (hali ya amri-impératif)
(+) Cheze mpira! Chezeni mpira!
(-) Usicheze mpira! Msicheze mpira!
kusimama hapo
(+) simama hapo! simameni hapo!
(-) usimame hapo! msimame hapo!
kuchukua soda
(+) chukua soda! chukueni soda!
(-) usichukue soda! msichukue soda!
kunywa hayo maji
(+) kunywa hayo maji! kunyweni hayo maji!
(-) usinywe hayo maji! msinywe hayo maji!
kuja hapa
(+) njoo hapa! njooni hapa!
(-) usije hapa! msije hapa!