Somo la tano (5) - Maneno mapya, ngeli 15 "ku-", ngeli 16-17-18 "pa-ku-m-" na hali ya masharti (conditionnel & situations hypothétiques) Flashcards
mhudumu (1/2)
serveur
kuhudumia
servir
chakula (7/8)
repas, nourriture
orodha (9/10)
liste, catalogue, menu
kuorodhesha
inscrire
haricots
maharagwe (au maharage) (6)
poulet, poule
kuku (1/2)
ugali (11)
bouillie épaisse de farine de maïs, de manioc, etc.
demander, prirer
kuomba
poisson
samaki (1/2)
apporter
kuleta
boisson
kinywaji, vinywaji (7/8)
pombe (9/10)
alcool
tangawizi
gingembre
capitale
mji mukuu (3/4)
lac
ziwa (5/6)
kupita
traverser
apprendre
kujifunza
beignets
maandazi
orange
chungwa, machungwa (5/6)
muwa, miwa (3/4)
canne à sucre
soda (9/10)
soda, limonade
baridi (9/10)
froid
mfuko, mifuko (3/4)
sacs, poches
njaa (9/10)
faim
avoir faim
kuona njaa
kiu
soif
avoir soif
kuona kiu
kuona ajabu, kushangaa
être étonné, s’étonner
kujuta, kuona cha mtema kuni
regretter
avoir peur
kuogopa, kuona woga
kuonja
goûter
Sa façon de chanter est appréciée.
(+) Kuimba kwake kuzuri kunapendeza.
(-) Kuimba kwake kuzuri hakupendezi.
Sa venue nous réjouit.
(+) Kuja kwake kumetufurahisha.
(-) Kuja kwake hakujatufurahisha.
Classes locatives 16-17-18 : pa-ku-m-
- avant les voyelles : p- ; kw- ; mw- ;
- avant les consonnes : pa- ; ku- ; m- .
Démonstratifs :
- pa- : hapa, pale, hapo ;
- ku- : huku, kule, huko ;
- m- : humu, mle, humo.
Ce marché-ci est apprécié.
Sokoni huku kunapendeza.
Dans cette maison demeurent bcp de gens.
Nyumbani humu mnakaa watu wengi.
à la fin de
mwishoni mwa
au début de
mwanzoni mwa
Si les étudiants révisent bien leurs leçons, ils réussiront l’examen.
(+) Wanafunzi wakihudhuria masomo, watafahulu mtihani.
(-) Wanafunzi wasipohudhuria masomo, hawatafaulu mtihani.
Si nous buvons beaucoup d’alcool, nous serons ivres.
(+) Tukinywa pombe nyingi, tutalewa.
(-) Tusipowa pombe nyingi, hatutalewa.
Si vous partez en Tanzanie, vous mangerez du poisson.
(+) Mkifika Tanzania, mtakula samaki.
(-) Msipofika Tanzania, hamtakula samaki.
J’ai vu l’enseignant entrer dans la classe.
(+) Nilimwona mwalimu akiingia darasani.
(-) Sikumwona mwalimu akiingia darasani.
J’ai entendu les artistes chanter.
(+) Niliwasikia wasanii wakiimba.
(-) Sikuwasikia wasanii wakiimba.
Si Dieu le veut.
Mungu akipenda.
Si actuellement Musa avait beaucoup d’argent, il se marierait.
(+) Sasa Musa angekuwa na pesa nyingi, angefanya harusi.
(-) Sasa Musa asingekuwa na…, asingefanya harusi.
Si j’avais reçu du crédit ce matin, je téléphonerais.
(+) Ningepata vocha asubuhi, ningepiga simu.
(-) Nisingepata …, nisingepiga.