Somo la nne (4) - Kununua chapati Flashcards
Temps résultatif -me-
Wakati timilifu -me-
Temps passé -li-
Wakati uliopita -li-
Temps futur -ta-
Wakati ujao -ta-
grand-père
babu
grand-mère
bibi
papa, père
baba, fatha
maman, mère
mama, matha
tante (paternelle)
anti (shangazi)
oncle (paternel / maternel)
anko (ami / mjomba)
grand-oncle paternel
baba mkuu
belle-mère
mama mkwe
tante maternelle (plus jeune / plus âgée que ma mère)
mama mdogo / mama mkubwa
cousin
binamu
frère
kaka, brotha (ndugu)
soeur
dada, sista (ndugu)
petit(s)-enfant(s)
mjukuu, wajukuu
demander
kuuliza
si, comme
kama
avoir besoin
kuhitaji
argent
pesa, hela
calcul(s)
hesabu, mahesabu
c’était / ce sera
ilikuwa / itakuwa
donc
kwa hiyo
vrai, c’est vrai, vraiment
kweli
conjugaisons
nyakati
aujourd’hui
leo
demain
kesho
hier
jana
avant-hier
juzi
après-demain
kesho kutwa
tout de suite
sasa hivi
semaine prochaine / dernière
wiki kesho / jana
payer
kulipa