Somo la nne (4) - Mazungumzo, ngeli (11), kuhesabu Flashcards
Employé de bureau
karani
couper
kukata
acheter un billet
kukata tiketi
kukata tamaa
se décourager, perdre espoir
kurudi
retourner, revenir
prix
bei
bon marché
bei nafuu
daraja
pont, rand, position, classe
complet, absolu
kamili
heure précise
saa kamili
se terminer
kukamilisha
kuchukua
prendre, amener, apporter
muda
temps, période
voiture-wagon
behewa, mabehewa (5/6)
kuchukua hatua
prendre des mesures
kupitia
passer par, faire une visite de passage
halafu
puis, et puis, ensuite
sans
bila (ya)
kusimama
s’arrêter, se lever, se mettre ou se tenir debout
kueleka
se diriger vers
shaka, mashaka (5/6)
doute, incertitude
éducation
elimu (9/10)
il nous (en) apprendra beaucoup
itatupa elimu zaidi
kuhusu
concerner, en rapport avec
viza
visa
obtenir
kupata
ambassade
ubalozi
balozi
ambassadeur
pasi
passeport
kujisaidia
aller aux toilettes
tafadhali
svp
urefu
longueur, grande taille
saleté
uchafu
kuharibu
détruire, abîmer
beauté
uzuri
unité
umoja
indépendance
uhuru
propreté
usafi
uzazi
procréation
wizi
vol
sol, terre
udongo
riz cuit
wali
pâte
ugali
farine
unga
électricité, courant
umeme
monde, terre, univers
ulimwengu
sommeil
usingizi
jeunesse
ujana
umaskini
pauvreté
sorcellerie
ucahwi
enfance
utoto
ufalme
royauté
bois
ubao, mbao (11/10)
ulimi, ndimi (11/10)
langue
udevu, ndevu (11/10)
barbe
ukuta, kuta (11/10)
mur
ukumbi, kumbi (11/10)
salle, hall d’entrée
ufagio, fagio (11/10)
balai
ufunguo, funguo (11/10)
clé
upande, pande (11/10)
côté
maladie
ugonjwa, magonjwa (11/6)
conflit, dispute
ugomvi, magomvi (11/6)
uovu, maovu (11/6)
mal
uamuzi, maamuzi (11/10)
décision
kuamua
décider
wembe, nyembe (11/10)
lame (de rasoir)
wakati, nyakati (11/10)
temps, période
wimbo, nyimbo (11/10)
chanson
1/2
nusu, moja kwa bili
1/3
theluthi/thuluthi, moja kwa tatu
1/6
sudusi, moja kwa sita
1/4
robo, moja kwa nne
10%
asimilia kumi
80%
asimilia themanini