Somo la pili (2) - Kukaribisha na kushukuru Flashcards
jour(s)
siku, masiku (5/6) –> Habari za masiku?
kuona
voir, ressentir
désolé!
pole!
je vois que tu es fatigué
(ni)naona una uchovu
uchovu
fatigue
Le voyage était long, n’est-ce pas ?
Safari ilikuwa ndefu, he?
Dieu merci!
(ni)namshukuru Mungu!
Reste en paix!
ubaki salama!
Hé! Mon Dieu!
Mungu wangu! Jamani!
Qui ? Quoi ? Pourquoi ?
Nani? Nini? Kwa nini?
Ce n’est pas un jeu
Si mchezo
Présent (temps)
Wakati uliopo
Shiro anataka kununua matunda, anapenda sana ndizi na maembe, lakini leo hakuna ndizi na maembe sokoni, basi ananunua mananasi na machungwa. Analipa / Bei ya matunda haya ni Shilingi mia mbili (200), halafu anarudi nyumbani kula matunda na rafiki yake.
Shiro veut / souhaite acheter des fruits, il aime beaucoup les bananes et les mangues. Cependant, il n’y a pas de bananes ni de mangues au marché aujourd’hui, donc il achète des ananas et des oranges. Il paie / Le prix de ces fruits est de deux cents Shiling. Ensuite, il rentre à la maison pour manger les fruits avec son ami.
Statue de la liberté
Sanamu ya uhuru