Somo la pili (2) - Mazungumzo, temps Flashcards
kutoka
venir de, sortir
mettre au monde, engendrer
kuzaa
être né
kuzaliwa
habiter, vivre
kuishi
Bibi
Mlle, Mme, grand-mère
savoir
kujua
kijiji, vijiji (7/8)
village
kukaa
s’asseoir, rester, résider à, habiter
en dehors (de), à l’extérieur (de)
nje (ya)
un peu
kidogo
la région (de)
eneo (la)
minibus
daladala (Tz), matatu (Kn)
pouvoir, être capable, être en mesure
kuweza
dortoir, résidence
bweni
chance
bahati
heureusement
kwa bahati
en classe
darasani
bâtiment
jumba
tu
juste, simplement, seulement
eti, hebu!
hé, dis-donc !
oublier
kusahau
part, partie, pièce, côté
sehemu
ville
jiji, majiji (5/6)
échouer, être battu, vaincu
kushindwa
gagner, remporter une victoire
kushinda
réussir
kufaulu
kukosea
faire/commettre une erreur, se tromper, avoir tort
mais, cependant, au contraire
lakini, bali, ila
quel dommage !
mon Dieu !
hé !
Jamani!
sembler, être visible, apparaitre
kuonekana
se souvenir
kukumbuka
souvenirs, commémoration
kumbukumbu
rire
kucheka
kuangua kicheko
éclater de rire
WAKATI UMEPITA KIDOGO (passé proche) Hali ya kukubali - nimefika mapema - umefika mapema - amefika mapema - tumefika mapema - mmefika mapema - wamefika mapema
Hali ya ukanushi
- sijafika mapema
- hujafika mapema
- hajafika mapema
- hatujafika mapema
- hamjafika mapema
- hawajafika mapema
WAKATI ULIOPITA SANA (passé lointain) Hali ya kukubali (kupiga pisa = repasser) - nilipiga pasi - ulipiga pasi - alipiga pasi - tulipiga pasi - mlipiga pasi - walipiga pasi
Hali ya ukanushi
- sikupiga pasi
- hukupiga pasi
- hakupiga pasi
- hatukupiga pasi
- hamkupiga pasi
- hawakupiga pasi
WAKATI WA MAZOEA (présent d'habitude ou de vérité générale) Hali ya kukubali (kupumzika = se reposer) - huwa ninapumzika / mimi hupumzika - huwa unapumzika / wewe hupumzika - huwa anapumzika / yeye hupumzika - huwa tunapumzika / sisi hupumzika - huwa mnapumzika / ninyi hupumzika - huwa wanapumzika / wao hupumzika
Hali ya ukanushi
- mimi huwa sipumziki
- wewe huwa hupumziki
- yeye huwa hapumziki
- sisi huwa hatupumziki
- ninyi huwa hampumziki
- wao huwa hawapumziki