Lesson 9f: U Noun Class Flashcards
Uso
Face
Nyuso
Faces
Uzi
Thread
Nyuzi
Threads
Ua
Courtyard
Nyua
Courtyards
Ufa
Crack
Nyufa
Cracks
Uma
Fork
Nyuma
Forks
Ulimi
Tongue
Ndimi
Tongues
Udevu
Beard
Ndevu
Beards
Ubao
Board
Mbao
Boards
Ubavu
Rib
Mbavu
Ribs
Ubawa
Wing
Mbawa
Wings
Unywele
One hair
Nywele
Hair
Ufunguo
Key
Funguo
Keys
Ukuta
Wall
Kuta
Walls
Upande
Side
Pande
Sides
Uvumbi
Grain of dust
Vumbi
Dust
Upanga
Machete
Panga
Machetes
Upepo
Wind
Pepo
Winds
Wakati
Time
Nyakati
Times
Wembe
Razor blade
Nyembe
Razor blades
Wimbo
Song
Nyimbo
Songs
Udongo
Soil/Ground
Ugali
Corn paste
Uji
Porridge
Ulimwengu
World
Umeme
Electricity
Umri
Age
Unga
Flour
Usingizi
Sleep
Uwongo
A lie
Ujamaa
Community
Ujana
Young age
Uzee
Old age
Umaskini
Poverty
Uchawi
Witchcraft
Ufalme
Kingdom
Utoto
Childhood
Uwizi
Theft
Ukosefu
Deficiency
Upendo
Love
Uwezo
Capacity
Usahaulifu
Forgetfulness
Ufaransa
France
Uganda
Uganda
Uingereza
England
Ujerumani
Germany
Ureno
Portugal
Urusi
Russia
Ulimi unauma.
The tongue hurts.
Ndimi zinauma.
The tongues hurt.
Ufunguo umepotea.
The key has been lost.
Funguo zimepotea.
The keys have been lost.
Ugali umepikwa.
The cornmeal has been cooked.
Upendo wao umesifika.
Their love has been praised.