Lesson 12a: Various Personalities Flashcards
Daktari
Doctor
Daktari wa meno
Dentist
Daktari wa macho
Optician/Eye specialist
Nesi
Nurse
Mkunga
Midwife/Nurse
Dereva
Driver
Kipofu
Blind person
Kibogoyo
Toothless person
Mjamzito
Pregnant woman
Chongo
A squint
Mwendawazimu/Kichaa
Mad person
Kiguru
Disabled person [leg]
Kibyongo
Hunchback
Kiziwi
Deaf person
Bubu
Dumb person
Mwizi
Thief
Jambazi
Robber
Dobi
Launder
Hakimu
Judge
Kadhi
Islamic judge
Wakili/Mwanasheria
Lawyer
Mshtakiwa
Accused person
Mtetezi
Defendant
Shahidi
Witness
Mashahidi
Witnesses
Karani
CLerk
Kinyozi
Barber
Mfanyibiashara
Businessman
Mchongaji
Sculptor
Mfinyanzi
Potter
Mchungaji
Shepherd
Mjane
Widow
Mfugaji
Livestock farmer
Mhunzi
Blacksmith
Mjenzi
Construction worker
Mkalimani
Interpreter
Mkulima
Farmer
Mnajimu
Astrologist
Mpishi
Cook
Mshairi
Poet
Mtafiti
Researcher
Mvuvi
Fisherman
Mwaguzi
Dream interpreter
Mwalimu
Teacher
Mhadhiri
Lecturer/Instructor
Ustadh/Ustadhi/Profesa
Professor
Padre/Kasisi
Clergy
Sheha
Imam [Islamic leader]
Mpelelezi/Jasusi
Spy/Detective/Investigator
Ofisa wa polisi/Askari/Polisi
Police officer
Mekanika
Mechanic
Nahodha
Sea captain
Nahodha wa meli
Ship crewman
Mwashi
Mason
Rubani
Pilot
Seremala
Carpenter
Sonara
Jeweler
Mchimba madini
Miner
Tabibu
Healer/Physician
Mchuuzi
Retailer
Mfanyakazi/Mtumishi
Worker
Mhandisi
Engineer
Mhariri
Editor
Tarishi/Mjumbe
Postman/Messenger
Sogora
Drummer
Msajili
Registrar
Msusi
Hairbraider/Beautician
Msasi
Hunter
Mlanguzi
Smuggler
Mlanguzi wa madawa
Drug dealer
Mshenga
Matchmaker
Naibu
Deputy/Assistant/Acting officer
Baharia
Sailor
Utingo/Tanboi
Luggage manager
Mbunge
Senator/MP
Diwani
Council person
Topasi
Janitor
Saisi
Horse caretaker
Rais/Raisi
President
Gavana
Governor
Mwakilishi
Representative/Congressman
Waziri
Minister/Cabinet secretary
Waziri wa afya
Minister of Health
Meya
Mayor
Mfalme
King
Malkia
Queen
Mganga
Healer/Physician
Maskini/Fukara
Poor person
Mwadhini
Muezzin
Jumbe
Village elder/Chief/Headman
Mpagazi/Mchukuzi/Hamali
Carrier/Porter
Kiranja
Student leader
Mshona viatu
Cobbler
Dalali
Auctioneer
Jemadari
Commander in chief/Chief of staff
Uledi
Cabin boy
Liwali
Administrative official/headman
Mwenyekiti
Chairman/Chairperson
Katibu wa chama
Secretary of the association
Mwanachama
Member
Mwekahazina
Treasurer
Nokoa
Farm manager
Yaya
Nanny
Kuli
Dockworker
Somo
Confidante/Intimate friend
Mhasibu
Accountant
Mtemakuni
Firewood fetcher
Mpigaramli
Fortune teller
Mtumishi
Servant/Waiter/Worker/Laborer
Mkutubi
Librarian
Shaibu
Old man
Ajuza
Old woman
Kikongwe/Mzee
Old person
Kingori
Young man
Mtanashati
Teenage boy
Mume/Mwanamume/Janadume
Man
Mwari
Young woman
Mwanamwali
Teenage girl
Mke/Mwanamke/Janajike
Woman
Tajiri/Mkwasi
Rich person
Mchawi
Witch
Mkuu wa chuo/Rais wa chuo
University president
Mwenyekiti idara
Head of department
Mkuu wa kitivo
Dean
Ofisa wa chuo
University official
Mpakaji rangi
Painter
Muuzaji
Salesperson
Mwongo/Mlaghai
Liar
Mjinga
Stupid
Mnafiki
Pretender/Liar
Mfitini
Inciter
Msaliti
Traitor
Mwanamuziki
Musician
Mwanasayansi
Scientist
Mwanaanga/Mwanahewa
Astronaut
Mwanahisabati/Mwanahesabu
Mathematician
Mwanamitindo
Fashion designer
Mwanamichezo
Sportsman/Sportswoman
Mwanasanaa
Artist
Mwanamaji
Marine
Mwanajeshi
Soldier
Mwanaisimu
Linguist
Mwanahistoria
Historian
Mwanahewa/Mwanaanga
Air force
Mwanabayolojia
Biologist
Mwanaanthropolojia
Anthropologist
Mwanasheria
Lawyer
Mwanasiasa
Politician
Fanya
Do
Sijui
I do not know
Si
Is not
Kazi
Work/Employment
Taka
Want
Inategemea
It depends
Ungependa
You would like
Ungetaka
You would want
Baba yako anafanya kazi gani?
What work does your dad do?
Yeye anafanya kazi mbalimbali.
He/She does various work.
Hana kazi.
He/She does not have work.
Hupendi kazi gani?
What work don’t you like
Sipendi kazi ya muuzaji.
I don’t like salesperson work.
Je, unapenda kufanya kazi mkahawani?
Do you like working at the restaurant?
La, sipendi kuosha sahani, vikombe, na zulia.
No, I don’t like cleaning plates, cups, and carpets.
Unataka kufanya kazi gani baada ya shule?
What kind of work do you want to do after school?
Ningetaka kufanya kazi ya udaktari.
I would want to work in a medical profession.